Kuna siri gani kuhusu hawa wanawake wanaojifukiza udi?

Jana nikiwa kwenye daladala aliingia mwanamke mmoja hv wa kiislamu hakika ni mashaallah,alikaa pembeni yangu na harufu ya udi aliyojipiga ilinivutia sana nikatamani kama safari isiishe hadi nikambuka laaziz wangu.

Kuna jambo huwa linanichanganya sana hasa kwa laaziz wangu alikuwa akija tugegedane akiwa kajipiga maudi mwili mzima,hiyo siku game huwa ni tamu si mchezo tofauti na asipojifukiza.

Utamu unaokuwepo huwa unahamia kwenye ulimi hadi nahisi asali fulani hv ipo mdomoni Sasa najiuliza kuhusu ule utamu wa udi sipati jibu.
Kuna mtu hapa kaniambia kwamba eti kisa udi huita majini so huwa linamuingia unayemgegeda ndo chanzo cha huo utamu.

ETI NI KWELI KUHUSU HII?
Ukipagawa na majini unakua mtamu kama hujapagawa na mapeo huwezi hata dinda kwa udi
 
hahahha nimecheka, usijal me hua nafanya hivi

Nachukua chetezo, hiki ni kifaa maalum cha kufukizia viko vya udongo na vya umeme kama hauna hata kimojawapo chukua kikombe cha dongo

Weka makaa ya moto yale yalioshika moto haswaa then weka udi wako humo kwenyemoto wakat huo unakua umeshatarget nguo yako unaolyotaka inukie, choma udi wako ule moshi uingie direct kwenye nguo hapo utaamua kama utashikilia nguo au la

Kuna udi mwengine moshi wake huweka doa, hakikisha unaikava nguo yako na nyingine kuzuia doa la moshi lisiwepo kwenye nguo yako then moshi ukiisha acha nguo yako kwa muda kaoge au fanya shughuli zingine njoo uivae ile harufu itabakia kwenye nguo me siwez udi mtupu lazima nichanganye na perfume hapo ndio najiona yes hapa sawa ruksa kwenda utakako upepo ukipigaunapuliza hiyo harufu unajisikia kabisa nanukia
Madame S umeolewa weye?
 
Naomba niwe mgeni wako siku nikija Tanga
hamna bana n kiasi tunaelekezana tu lakini ukiupenda udi utakua addicted kama mm kuna duka flani liko barabara ya saba kwenye kona inatazamana na sheli kwa tanga nikienda pale lazima nnuse vile vikopo vya al ud nahisi iko damuni na mama yangu hapatani na harufu kali ila sjui nimemrithi nani

hua hata siwazi hayo naona sawa tu
 
Sio kweli kwamba utakuwa unazini na majini

Ila ni sunnah kwa mwanamke kuwa mwenye harufu nzuri inayo vutia kwa mumeo

Pia ni haramu kwa mwanamke kujipaka manukato yanayo nukia anapo toka mana upelekea matamanio kwa wanaume

Kama wewe ulivyo mtamani uyo mdada
MaashaAllah
 
Jana nikiwa kwenye daladala aliingia mwanamke mmoja hv wa kiislamu hakika ni mashaallah,alikaa pembeni yangu na harufu ya udi aliyojipiga ilinivutia sana nikatamani kama safari isiishe hadi nikambuka laaziz wangu.

Kuna jambo huwa linanichanganya sana hasa kwa laaziz wangu alikuwa akija tugegedane akiwa kajipiga maudi mwili mzima,hiyo siku game huwa ni tamu si mchezo tofauti na asipojifukiza.

Utamu unaokuwepo huwa unahamia kwenye ulimi hadi nahisi asali fulani hv ipo mdomoni Sasa najiuliza kuhusu ule utamu wa udi sipati jibu.
Kuna mtu hapa kaniambia kwamba eti kisa udi huita majini so huwa linamuingia unayemgegeda ndo chanzo cha huo utamu.

ETI NI KWELI KUHUSU HII?
Kweli hapo jini anakoleza lkn hiyo raha kwa sana hapo na ww unategemea na huyo jini

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Wee subiri mpaka siku uje ulale na Jini bahari ndio utajua mkuu. Maharufu harufu haya usipende sana mkuu.
 
Back
Top Bottom