KUNA SIRI GANI KATIKA PESA?

MtamuMix

Senior Member
Feb 10, 2018
119
138
Umeshawahi kujiuliza hili?
Ukiwa huna pesa umepigika hakuna hata mtu anayekusogelea, hata walio mbali hawakupigii. Hata ndugu zako wanakuwa kimya, japo kwa kuwa uko mbali nao hujawaambia kama uko kwenye wakati mgumu. Kama una mchepuko wako wala hata hana muda na wewe.

ILA SASA
Siku umepiga dili flani ukapiga mkwanja wa uhakika.... mfano kuna malipo umeyapata kama milioni kadhaa au laki kadhaa. bosi wako amekuambia broo cheque yako tumepeleka bank, hapo unakuwa na uhakika leo niko fresh. Unapanga bajet zako kadha wa kadha, kabla hujaenda kuchukua hiyo hela, au ndani ya siku moja tangu upate hela, zinakuja sms kibao, unapigiwa simu toka pande zote... wanakutajia matatizo, mengine yanatia huruma. Mchepuko wa muda mrefu mlishasahauliana siku hiyo anaanza tuu kuchat na wewe tena yuko mkoa mwingine....

Hivi wanajuaje kuwa leo una hela ndo waanze kukuomba wakati hujawaambia?

Mshana Jr, nakukaribisha
 
Pesa ina undugu na shetani, pata pesa uite matatizo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dunia inaendeshwa na vitu viwili pesa na mapenzi, kimoja ni cha kiroho na kingine ni cha kimwili... Pesa inang'arisha na kutakatisha mwili hivyo kamwe haifichiki

Jr
 
Na je mbona matatizo hukujia wakati huna pesa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio matatizo tu hata vitu vizuri vya kitonga ushafikiria?

Anatokea mtu kapigika mbaya anatafta hela ya kuongezea mwanae apate ada anakuja na iphone X ng'ada kabisa anataka laki 3 tu akuachie simu hapo unajua fika ile simu ni 2.3m na resale value iko juu ila huna hata mia mfukoni.

Mwengine anaweza akaja na Laptop ya maana ukiangalia thamani si chini ya laki 7 anakwambia nsaidie jamaa nataka kufukuzwa na landlord nahitaji laki mbili tu nikamilishe kodi ya nyumba. Halafu uwezo unao ila mda anaokuja huna hata sh.100 mbovu.
 
Hii imenitokea, Jamaa alitaka niuzia simu s9 plus kwa bei ya 500k na Sikuwa na kitu,nilihangaika kuitafuta ikashindikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imenitokea, Jamaa alitaka niuzia simu s9 plus kwa bei ya 500k na Sikuwa na kitu,nilihangaika kuitafuta ikashindikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo unapoona ukata hauna maana, ila siku ukiwa na milioni hivyo vi deal hauvioni kabisa.

Ushajiuliza kwanini tumbo la njaa huuma vibaya ukiwa huna hela ila ukiwa nazo mchana unaweza pita hujiskii hata kula!? Achana na hela asee ni shida!
 
Back
Top Bottom