Kuna siri gani katika hizi sarafu za kale. Je, makafara yanayofanyika ili kupata sarafu hizi zinaenda kwa nani?

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,196
2,020
Habari wana GT. Nadhani hichi kitu si kigeni katika masikio ya wengi.Wengi tumesikia kuhusu sarafu hizi za kale/zamani kuwa kama mtu utafanikiwa kuzipata basi utaweza kuziuza kwa pesa nyingi sana.
Hilo hapo juu sio kilichonifanya niandike huu uzi ila ni hili-
Kwanini ili upate hizi sarafu au kuuza hizi sarafu za kale lazima yafanyike makafara na matambiko tena ya damu.Je makafara haya hufanyiwa nani kwa lengo gani?
Wanao nunuwa hizi sarafu wanazifanyia kazi/matumizi gani?
Naomba mnifute tongotongo katika hili
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom