Kuna siri gani kati ya Magufuli na BOT/PSPF?

mangesani

Senior Member
Jun 20, 2016
159
88
Nashangaa hizi institutions zimejaa uozo ubadhirifu na madudu ya kila namna.

Yote hayo Magufuli anajua na alikemea sana BOT.

So far hatujaona change of management au board au uendeshaji wake.

Je, Inawezekana a naogopa kukutana PSPF kwa sababu ya Godfather wake (Mkapa) au?

If that's the case kwa nini ana woga sana na BOT?
 
Nashangaa hizi institutions zimejaa uozo ubadhirifu na madudu ya kila namna

Yoote hayo Magufuli anajua na alikemea sana BOT

So far hatujaona change of management au board au uendeshaji wake.

Je inawezekana a naogopa kukutana PSPF kwa sababu ya Godfather wake (Mkapa) au?

If that's the case kwa nini ana woga sana na BOT???
1+1=11
 
Mtoto wake akimaliza shule ata fix wapi? Ndio humo humo!! Kama Tanroad ilikuwa chini yake akamuweka mtoto wake mmoja huko ambae amekuwa DC Kisarawe unategemea Jesca akimaliza utamsikia HOUR NSSF! Subiri tupo hapa uzima tu! BoT hawezi kuwatoa watoto wa Mkapa Mwinyi na best yake Kigoda RiP:
Nashangaa hizi institutions zimejaa uozo ubadhirifu na madudu ya kila namna

Yoote hayo Magufuli anajua na alikemea sana BOT

So far hatujaona change of management au board au uendeshaji wake.

Je inawezekana a naogopa kukutana PSPF kwa sababu ya Godfather wake (Mkapa) au?

If that's the case kwa nini ana woga sana na BOT???
 
Mkuu Magufuli hakurupuki kwa kusoma jf au magazeti yeye anatuma team yake inaenda kufanya kazi ikipata ukweli inaleta taarifa maamuzi yanafanyika.
Angalia nssf watu walisema sana lakini hakukurupuka alienda taratibu ndio madudu yakajulikana sababu ukikurupuka hao watu wakienda mahakamani watashinda.
 
aisee...waliofukuzwa wote tumeambiwa wameiba...mbona hswashitakiwi warudishe pesa zetu?
 
Back
Top Bottom