Kuna siri gani kati ya Eunice Chiume na bosi mpya NSSF, Godius Kahyarara

AbasMzeEgyptian

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
407
312
pic+city+surbus.jpg

Bodi mpya ya NSSF imeridhia maombi toka kwa Bosi mpya wa NSSF kuwa wakurugenzi na mameneja wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma mabali mbali.

Lakini cha ajabu wakati wameneja na wakurugenzi wamesimamishwa kuna huyu mwana mama (EUNICE CHIUME) ambaye ni Meneja Kiongozi ambaye alikuwemo kwenye kamati zote za manunuzi na kamati zilizokuwa zikikaa kupitisha miradi mikubwa amebakishwa na anaendelea na kazi

Hii ina maana kuwa huyu Mkurugenzi mpya wa NSSF amekuwa compromised au kapigwa presha toka kwa wazazi wake huyu binti ambao ni wazito sana kwenye serikali ya Magufuli?

Hivi inaingia akilini kuwa tenda board ya watu 8 ilipitisha mambo tena kwa kutia saini lakini wakati wa hukumu wahukumiwe watu 7? Hii inaingia akilini kweli? Kuna siri gani au instructions zimetolewa kuwa huyu mama asiguswe?

Credibility ya huyu mkurugenzi na board mpya ishaanza kuwa questionable.
 
pic+city+surbus.jpg

Bodi mpya ya NSSF imeridhia maombi toka kwa Bosi mpya wa NSSF kuwa wakurugenzi na mameneja wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma mabali mbali.

Lakini cha ajabu wakati wameneja na wakurugenzi wamesimamishwa kuna huyu mwana mama (EUINCE CHIUME) ambaye ni Meneja Kiongozi ambaye alikuwemo kwenye kamati zote za manunuzi na kamati zilizokuwa zikikaa kupitisha miradi mikubwa amebakishwa na anaendelea na kazi

Hii ina maana kuwa huyu Mkurugenzi mpya wa NSSF amekuwa compromised au kapigwa presha toka kwa wazazi wake huyu bini ambao ni wazito sana kwenye serikali ya Magufuli?

Hivi inaingia akilini kuwa tenda board ya watu 8 ilipitsihe mambo tena kwa ku tia saini lakini wakati wa hukumu wahukumiwe watu 7? Hii inaingia akilini kweli? Kuna siri gani au instructions zimetolewa kuwa huyu mama asiguswe?

We si unamuna jinsi sura yake ilivyojaa fitna na majumgu .

wanaanzaje kumsimamisha kazi
 
pic+city+surbus.jpg

Bodi mpya ya NSSF imeridhia maombi toka kwa Bosi mpya wa NSSF kuwa wakurugenzi na mameneja wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma mabali mbali.

Lakini cha ajabu wakati wameneja na wakurugenzi wamesimamishwa kuna huyu mwana mama (EUINCE CHIUME) ambaye ni Meneja Kiongozi ambaye alikuwemo kwenye kamati zote za manunuzi na kamati zilizokuwa zikikaa kupitisha miradi mikubwa amebakishwa na anaendelea na kazi

Hii ina maana kuwa huyu Mkurugenzi mpya wa NSSF amekuwa compromised au kapigwa presha toka kwa wazazi wake huyu bini ambao ni wazito sana kwenye serikali ya Magufuli?

Hivi inaingia akilini kuwa tenda board ya watu 8 ilipitsihe mambo tena kwa ku tia saini lakini wakati wa hukumu wahukumiwe watu 7? Hii inaingia akilini kweli? Kuna siri gani au instructions zimetolewa kuwa huyu mama asiguswe?

We Abbas endelea kumtetea dau haya Eunice waachie wenyewe,
Jipange kwenda kumuwekea dhamana dau mahakamani.ahsante
 
Hafikishwi yyt Mahakamani maana itakuwa AIBU kwa Magufuli
Mahesabau hayajawaa balanced baada ya CAG kuwakagua LKN wanajua hawa wakurugenzi hayo mabilion yalifanya nn Oktoba 2015

Ukiona Zitto Kabwe yupo kimywa hadi sasa jua hafikishwi mtu yyt Mahakamani
 
Back
Top Bottom