Kuna siri gan katika 40? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna siri gan katika 40?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Doyi, Jul 6, 2012.

 1. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Heshma kwenu wadau. Nimekuwa nikijiuliza maswali meng ni kipi kilicho katika namba 40.Najiuliza hvo kwa kuwa inasadikiwa(sina uhakika) kuwa huwez kuwa rais wa tanzania hadi uwe na umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea,pia wazungu wana msemo wao wanasema LIFE STARTS AT 40,pia waislam wanaamini kuwa mtume muhammad(s.a.w.) alipewa utume akiwa na miaka 40,pia wakristo wanaamini bwana yesu alifunga bila kula chochote kwa siku 40,mtu akifa zikipita siku 40 anafanyiwa kumbukumbu ya kumwombea dua,pia inasadikiwa mvua ya gharika enzi za nabii nuhu zilidumu kwa sku 40.Mwana Jf hebu rusha events zinazohusisha namba 40 na utupe nini unaelewa katka hlo.Nawasilisha
   
 2. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,253
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  za mwizi ni 40
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mwanamke akifiwa na mume hukaa eddah cku 40, mtoto akizaliwa hutolewa nje baada ya cku 40. mtu akizikwa hufanyiwa hitma cku ya 40 bt vyote hv cjui maana yake! ngoja wadau waje. . .
   
 4. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  mh nice observation , i wasnt aware
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  yesu alifunga siku 40, alipaa baada ya siku 40
   
 6. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Let 40 is equal to 40 + 0

  Then we equate kanumbas hitma was after 40 days with some 40s freemason including diamond who promise to date 40 ladies.
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Zygote ikisha take place yaani early stage za pregy hubadili umbile moja kwenda jingine kwa format ya kila baada ya 40 days hadi pregy itakapofikisha 4 moon
   
 8. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Mwanadamu ameumbika hivi akiwa tumboni (mimba), siku 40 za mwanzo damu, siku 40 zinazofuata pande la nyama, baada ya siku 40 tena kiumbe kamili. n.b:
  'mafundisho haya yanapatikana kwa waislamu'
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  na mie hula nyama kilo 40.
   
 10. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  from theological point of view, 40 ni ishara ya matayarisho au maandalizi ya jambo
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nyama ipi sasa ?
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Na una miaka 40.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaah!! Hapo sasa.
   
 14. Captain Phillip

  Captain Phillip JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mie wife alipojifungua festborn wetu niliambiwa nisimchombeze mpaka baada ya siku ya 40.
   
 15. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kiteitei u made ma smile today
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  ndo maana una kitambi!
   
 17. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  ha ha ha kongosho mwana AZANIA niaje wewe? Shwari? Hzo kilo 40 ulikuwa unazila kule pande za jangwan au? Teh teh
   
Loading...