Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,735
- 6,291
Kwa mara ya kwanza baada ya Kifo cha mwendazake tumejionea vile VP anakwenda kuwa Namba moja directly bile votting hata ya kuthibitishwa na walau bunge.
Huu ni upungufu mkubwa katika katiba yetu na unapaswa kuzibwa haraka sana. Kwa mfano Wananchi walimchagua Hayati awaongoze na SSH kama makamu wake, lakini sidhani SSH angetoboa kama angesimama kwenye kampeni ngumu na Mzee wa Monduli.
Hii ina maana kura zilikwenda kwa hayati kama primary figure anayehitajika kuongoza na katika kampeni alikuwa akijinadi au kunadiwa yeye na si makamu wake. Haijawahi kutokea kampeni eti mnashinda kwa ushawishi wa makamu.
Sasa hoja yangu ni what if SSH naye akaendazake?. Maana yake Mpango anashika kijiti, Nini maana ya democracy hapa??... Nani alimchagua?? atawaongoza Wananchi gani wakati hawakumchagua kabisa?.
Kwa nini tusije kwenye ile kama ya Zambia ambapo VP anatakoover kama interim president with limited authority akiiandaa nchi kwa uchaguzi mkuu??. Kwa nini basi hata asipigiwe kura ya ndio au hapana na wananchi.
Its obvious clear kuwa alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais na siyo Rais. Tujikite kwenye hii maana!.. Kwa mfano najiuliza SSH angemteua Bashiru kuwa VP , bahat mpaya M/Mungu akampenda SSH . Means Bashiru anakuwa P wa Jamuhuri??
Sounds abnormal yani!!
Sounds crazy yaani