Kuna siku mbaya inakuja Tanzania

umeandika ukweli sana ! unajua kiukweli kwa umri alionao huyu lubuva hastahili kabisa kushiriki magumashi ya namna yoyote , namhurumia sana !
 
siku mbaya zije mara ngapi mkuu,tuanishi katika siku mbaya kwa takribani miaka 9 na miezi kadhaa sasa.it doesnt get any better

mkuu bora hizo, zinakuja mbaya zaidi. Wewe angalia tunakoelekea, mgombea wa ccm tena wa urais anapigwa na wana ccm wenzake, mgombea mwingine anajitangazia ushindi na anasema tayari amepiga bao, anafanya mikutano ya kampen ya urais kabla ya muda, yuko tayari kuutafuta urais kwingine kama c ndani ya ccm, wachukua form za urais wako karibia 40, wachungaji wanatwambia tusiemtaka lowasa tunywe limao nk. Huoni siku mbaya zaidi zinakuja
 
Hiyo siku mbaya iwe kwako na ukoo wako. Tatizo la mlalamikaji siku zote hata ummpe miaka miwil ya kuandkshwa atakuja cku ya mwsho ndo utaona wanajaa. Hli ni kwa Watanzania weng kama unataka kujua hlo tizama watu walpoambiwa kusajil lne za cm na kuhama toka analojia kwenda digital wa2 waltekeleza hayo cku ya mwsho. Pia leo hii uktangaza kaz,applcation nyng ztakuwepo tarehe ya mwsho.

nashukru maana mdogo wako ni mke wangu, siku mbaya itamkuta akiwa kwangu
 
Kuna siku mbaya inakuja kwa watanzania.

wakati mwingine unaweza au usiweze kuamini kama tanzania kuna watu wenye akili timamu, hasa watawala. Huwezi amini na hutakubari ni nini kinachoendelea ndani ya uandikishaji wa wapiga kura, serikali ye2 sikivu imekuwa ikishauliwa hasa na UPINZANI na wa2 wengine kwa mambo makini lakini kwa kuwa wao ni vichwa ngumu hupuuza mapendekezo mazuri na yenye tija na kufanya wanachoamini ahata kama siyo sahihi.

Viongozi kama jaji luvuba sijui wanatoka wapi, sijui wamekula limao, sijui nani kawaloga. Lubuva na serikali wanatuaminisha uandikishaji unaenda vyema kitu ambacho si kweli na tunaona kwenye vyombo vya habari hali ilivyo, kazi ya mwaka au miaka wanataka waifanye kwa siku 90, huu ni ubabaishaji na njia ya kuzalisha vurugu na fujo ndani ya nchi.

Ujinga na uzembe huu siyo ujinga wa akina lubuva ila ni ujinga wa watanzania wote, timekuwa wepesi, inachukua siku 2 mpaka 3 mtu hajaandikishwa, lakini majibu mepesi kutoka kwa akina lubuva na serikali wanatuaminisha kuwa uandikishaji unaenda vyema.!
Ka nchi kaajabu sana haka.

Inakuaje mji kama arusha, mwanza, mbeya, dar nk unapewa siku 7 za kujiandikisha, wa2 hawafanyi kazi ya kuijandikisha 2, wana kazi zao nyingine. Ebu 2hurumieni jamani.

Hivi ni lini tutakuwa serious na mambo ye2, hivi ni lini watz tutaona umhimu wa haya mambo, hivi ni lini tutaondokana na viongozi kama luvuba, hivi ni lini tuataheshimiana. Je NEC haikujua mwaka huu kuna uchaguzi. Kuna siku mbaya inakuja tanzania.

Dar es Salaam muda wa uandikishaji uongezwe kwa kweli
 
Back
Top Bottom