Kuna siku mbaya inakuja Tanzania

sirjohn

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
778
1,000
Kuna siku mbaya inakuja kwa watanzania.

wakati mwingine unaweza au usiweze kuamini kama tanzania kuna watu wenye akili timamu, hasa watawala. Huwezi amini na hutakubari ni nini kinachoendelea ndani ya uandikishaji wa wapiga kura, serikali ye2 sikivu imekuwa ikishauliwa hasa na UPINZANI na wa2 wengine kwa mambo makini lakini kwa kuwa wao ni vichwa ngumu hupuuza mapendekezo mazuri na yenye tija na kufanya wanachoamini ahata kama siyo sahihi.

Viongozi kama jaji luvuba sijui wanatoka wapi, sijui wamekula limao, sijui nani kawaloga. Lubuva na serikali wanatuaminisha uandikishaji unaenda vyema kitu ambacho si kweli na tunaona kwenye vyombo vya habari hali ilivyo, kazi ya mwaka au miaka wanataka waifanye kwa siku 90, huu ni ubabaishaji na njia ya kuzalisha vurugu na fujo ndani ya nchi.

Ujinga na uzembe huu siyo ujinga wa akina lubuva ila ni ujinga wa watanzania wote, timekuwa wepesi, inachukua siku 2 mpaka 3 mtu hajaandikishwa, lakini majibu mepesi kutoka kwa akina lubuva na serikali wanatuaminisha kuwa uandikishaji unaenda vyema.!
Ka nchi kaajabu sana haka.

Inakuaje mji kama arusha, mwanza, mbeya, dar nk unapewa siku 7 za kujiandikisha, wa2 hawafanyi kazi ya kuijandikisha 2, wana kazi zao nyingine. Ebu 2hurumieni jamani.

Hivi ni lini tutakuwa serious na mambo ye2, hivi ni lini watz tutaona umhimu wa haya mambo, hivi ni lini tutaondokana na viongozi kama luvuba, hivi ni lini tuataheshimiana. Je NEC haikujua mwaka huu kuna uchaguzi. Kuna siku mbaya inakuja tanzania.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
30,317
2,000
Watu wamelewa madaraka na sasa umma umewakataa hawana namna bali kuandikisha watu kwa njia ya adhabu ili wakate tamaa wasijiandikishe. Hapa watawala walipofikia ni umma kuamua kuwatoa kwa njia ya machafuko tu. Huu ni upuuzi sasa.
 
Ni kweli kabisa, wa2 wanaandikishwa kwa adhabu kali huku wakurugenzi bila aibu wanasema uandikishaji unaenda vyema. Watz 2badrike
 
Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,458
2,000
Mnaambiwa siku zote mkwala Wa kuleta fujo hamuwezi ishieni ktk chokochoko. Technology ya kisasa unataka kujiandisha mwaka mbona kura mnapiga siku moja. Uwaambie viongozi wako wajishauri Na wao pia
 
sirjohn

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
778
1,000
Mnaambiwa siku zote mkwala Wa kuleta fujo hamuwezi ishieni ktk chokochoko. Technology ya kisasa unataka kujiandisha mwaka mbona kura mnapiga siku moja. Uwaambie viongozi wako wajishauri Na wao pia
huyu nae eti ni mtu
 
MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
25,678
2,000
Siipendi sikumbaya kwa Tanzania ila kila mtu awe kiongozi au mwananch wa kawaida tubadirike
 
mbeyasafi

JF-Expert Member
May 27, 2015
333
195
Hiyo siku mbaya iwe kwako na ukoo wako. Tatizo la mlalamikaji siku zote hata ummpe miaka miwil ya kuandkshwa atakuja cku ya mwsho ndo utaona wanajaa. Hli ni kwa Watanzania weng kama unataka kujua hlo tizama watu walpoambiwa kusajil lne za cm na kuhama toka analojia kwenda digital wa2 waltekeleza hayo cku ya mwsho. Pia leo hii uktangaza kaz,applcation nyng ztakuwepo tarehe ya mwsho.
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,262
2,000
Ukijipa nafasi ya kufikiri kidogo kuna ukweli wa kuwa hawa watendaji wa serikali hawapo serious na huu uandikishaji wa wapiga kura. La, wana hidden agenda ya kuandaa machafuko kisha wasingizie wananchi. Lubuva fanya mrejesho kwa Kivuitu wa Kenya juu ya yaliyomkuta ili ufanye maamuzi magumu. Kinyume chake utatuaminisha kuwa utendaji wako na maamuzi yako yalikuwa biased toka zamani kwa mapenzi uliyokuwa nayo juu ya ccm na hii ni taswira ya vyombo vyote vya kutoa haki. Au mwenyekiti unatumikia maelekezo ya semina elekezi badala ya taratibu zinazoongozwa na sheria iliyoanzisha chombo unachokiongoza? Najaribu kuwaza kwa sauti kubwa
:hand:.
 
tru rasta

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
300
500
Kuna siku mbaya inakuja kwa watanzania.

wakati mwingine unaweza au usiweze kuamini kama tanzania kuna watu wenye akili timamu, hasa watawala. Huwezi amini na hutakubari ni nini kinachoendelea ndani ya uandikishaji wa wapiga kura, serikali ye2 sikivu imekuwa ikishauliwa hasa na UPINZANI na wa2 wengine kwa mambo makini lakini kwa kuwa wao ni vichwa ngumu hupuuza mapendekezo mazuri na yenye tija na kufanya wanachoamini ahata kama siyo sahihi.

Viongozi kama jaji luvuba sijui wanatoka wapi, sijui wamekula limao, sijui nani kawaloga. Lubuva na serikali wanatuaminisha uandikishaji unaenda vyema kitu ambacho si kweli na tunaona kwenye vyombo vya habari hali ilivyo, kazi ya mwaka au miaka wanataka waifanye kwa siku 90, huu ni ubabaishaji na njia ya kuzalisha vurugu na fujo ndani ya nchi.

Ujinga na uzembe huu siyo ujinga wa akina lubuva ila ni ujinga wa watanzania wote, timekuwa wepesi, inachukua siku 2 mpaka 3 mtu hajaandikishwa, lakini majibu mepesi kutoka kwa akina lubuva na serikali wanatuaminisha kuwa uandikishaji unaenda vyema.!
Ka nchi kaajabu sana haka.

Inakuaje mji kama arusha, mwanza, mbeya, dar nk unapewa siku 7 za kujiandikisha, wa2 hawafanyi kazi ya kuijandikisha 2, wana kazi zao nyingine. Ebu 2hurumieni jamani.

Hivi ni lini tutakuwa serious na mambo ye2, hivi ni lini watz tutaona umhimu wa haya mambo, hivi ni lini tutaondokana na viongozi kama luvuba, hivi ni lini tuataheshimiana. Je NEC haikujua mwaka huu kuna uchaguzi. Kuna siku mbaya inakuja tanzania.
siku mbaya zije mara ngapi mkuu,tuanishi katika siku mbaya kwa takribani miaka 9 na miezi kadhaa sasa.it doesnt get any better
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom