Kuna siku Dr. Slaa atarudi CHADEMA

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Nimewaza tu siku Dr. Slaa akiamua kurudi nyumbani CHADEMA itakuwaje siku hiyo? Nilisha mnukuu Mbowe akisema Dr. Slaa ajafukuzwa hata atake kurudi leo anakaribishwa lakini cha ajabu wana CHADEMA wanashinda mtandaoni kumshambulia.

Je watabadilisha gia angani kumsafisha kama walivyofanya kwa fisadi Lowassa?

Je watamkana wakati Mbowe atakuwa kashamkubali?

Nawafikiria hawa watu nashindwa kuwaelewa kabisa

*Things change then change any time "

BAVICHA wekeni akiba ya maneno!
 
Nimewaza tu siku Dr slaa akiamua kurudi nyumbani chadema itakuwaje siku hiyo?

Nilisha mnukuu mbowe akisema Dr slaa ajafukuzwa hata atake kurudi leo anakaribishwa

Lakini cha ajabu nyumbu wanashinda mtandaoni kumshambulia !!

Je watabadilisha gia angani kumsafisha kama walivyofanya kwa fisadi Lowassa??

Je watamkana wakati mbowe atakuwa kashamkubali??

Nawafikiria hawa watu nashindwa kuwaelewa kabisa

*Things change then change any time "

Bavicha wekeni akiba ya maneno!!!
1470750884761.jpg
moja ya watu waadilifu kabisa ninayemuelewa
 
Nimewaza tu siku Dr slaa akiamua kurudi nyumbani chadema itakuwaje siku hiyo?

Nilisha mnukuu mbowe akisema Dr slaa ajafukuzwa hata atake kurudi leo anakaribishwa

Lakini cha ajabu nyumbu wanashinda mtandaoni kumshambulia !!

Je watabadilisha gia angani kumsafisha kama walivyofanya kwa fisadi Lowassa??

Je watamkana wakati mbowe atakuwa kashamkubali??

Nawafikiria hawa watu nashindwa kuwaelewa kabisa

*Things change then change any time "

Bavicha wekeni akiba ya maneno!!!
mkuu unaota eh! haya endelea kuota..usiku mwema!
 
Nimewaza tu siku Dr slaa akiamua kurudi nyumbani chadema itakuwaje siku hiyo?

Nilisha mnukuu mbowe akisema Dr slaa ajafukuzwa hata atake kurudi leo anakaribishwa

Lakini cha ajabu nyumbu wanashinda mtandaoni kumshambulia !!

Je watabadilisha gia angani kumsafisha kama walivyofanya kwa fisadi Lowassa??

Je watamkana wakati mbowe atakuwa kashamkubali??

Nawafikiria hawa watu nashindwa kuwaelewa kabisa

*Things change then change any time "

Bavicha wekeni akiba ya maneno!!!
Hiyo ni nyumba ya kupanga nyumbani kwake hasa ni CCM ndio maana hakuwahi rejesha kadi ya CCM
 
Back
Top Bottom