Kuna sifa gani au faida gani ya baadhi ya watu kujifanya watu wa system?

Kuna member humu anaitwa gentamanini sijui . ..anajifanyaga ni mtu wa "system" ..

Kabla sijaja na majibu ambayo najua na nina uhakika wa 100% kuwa yatakuumiza na kukutesa mno ' Kisaikolojia ' naomba ili kuthibitisha haya ' madai ' yako uniwekee hapa ' ushahidi ' wako wote wa Kimaelezo kwamba kuna siku Mimi nimewahi kusema au kujitangaza au kujitapa humu JF kama ni Muajiriwa wa ' System '. Nasubiri huo ushahidi kisha baada ya hapo sasa nitakupa kile ulichokuwa ukikitaka kutoka Kwangu ili siku nyingine uiheshimu na ukae mbali kabisa na hii ID. Huwa nawapenda mno Watu kama nyie ambao huwa ' mnawashwawashwa ' na GENTAMYCINE na bahati nzuri leo umejiingiza mwenyewe katika ' Frame '.
 
Hahahah sio kwa povu hili sipati picha mngeonana ana kwa ana mgegawana nyumba za serikali mochwari muhimbili na segerea
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom