Kuna shida kubwa ya maji Chato. Waziri Kalemani hajali kitu, anachojali ni kusambaza taa za mitaani

Chato wana taa za barabarani, uwanja wa ndege wa kimataifa na mahoteli ya kitalii lakini hawana maji?! Viongozi wa huko mbona hamuifanyii wilaya yenu haki?
 
Back
Top Bottom