Kuna shida kiunoni mgongoni maumivu makali sana

Black BackUp

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
685
622
Husika na kichwa Cha habari hapo juu.

Tatizo litakuwa ni nini hasa nikianza mazoezi ya kukimbia (jogging) napata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya kiuno nikitembea inakuwa kawaida hakuna maumivu.

Hii imetokea baada ya kuacha mazoezi muda mrefu.
 
Back
Top Bottom