Kuna shida gani na mtandao hapa karibuni?

racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,041
1,530
Hapa karibuni kma siku 3 hivi zilizopita Internet speed zimekua mbovu sana. Natumia Voda na TTCL. Yaani speed imeshuka sana. Kwenye spend nilikua napata hadi 20mbps download lakini sasa napata 1 to 2mbps Voda. Yaani Voda ina buffer video ya 360p Youtube. Nyie wenzangu nao mmeona speed imeshuka huko kwenu au ni mimi tu.

Kma jana usiku TTCL 4G ilipotea kabisa. Nipo eneo linaloshika network vizuri tu za hii mitandao miwili ila ghafla naona speed imeshuka mno. 4G inakua na speed za 3G huko.

Mabando wanapandisha bei kila siku ila internet speed zinazidi kushuka tu kila siku. Hizi bei wanazotuongezea hela wanafanyia nini sasa?​

Screenshot_20210307-152556.jpg
 
Halotel huku nilipo speed kama yote cheki hapo no buffering
Screenshot_20210307-224422_Chrome.jpg
Screenshot_20210307-225010_YouTube%20Vanced.jpg
 
Hahahahahaha hamna mkuu hata mnara wa halotel sijui ulipo
Huku kwetu halotel nao majnga tu sikuhz. Ilikua freshy tu nayo unapata mpka 35mbps ila watu wengi walivyoanza kukimbilia halotel ikashuka
 
Huku kwetu halotel nao majnga tu sikuhz. Ilikua freshy tu nayo unapata mpka 35mbps ila watu wengi walivyoanza kukimbilia halotel ikashuka
Halotel inataka band 2600 na mimox2

Simu za kichina hazina hizo specs hata Watu wengi wakikimbilia haikuathiri wewe, wanaathirika wengi waliojazana kwenye band 2100.

Same kwa Tigo band 1800 na Ttcl band 2300.
 
Mimi natumia Pixel 3a na hyo band ipo supported ila speed ilishuka kweli hapo nyuma nikaachana na halotel
 
Mkuu nilidhani ni mimi mwenyewe jana ni test voda speed kwa kweli ili nishangaza sana. Nika change kwenda 4G wapi. Leo ndio nimegundua pitia uzi wako hili tatizo lipo kwa watu kibao.
 
Mimi ulikuwa tangu ijumaa kama si Alhamisi.

Jaribu kuuliza wadau. Nao hivyo hivyo. Vodacom wanakwama.
 
Mkuu nilidhani ni mimi mwenyewe jana ni test voda speed kwa kweli ili nishangaza sana. Nika change kwenda 4G wapi. Leo ndio nimegundua pitia uzi wako hili tatizo lipo kwa watu kibao.
Wanafeli. Mm nilikua napata hii speed kwenye voda mwezi uliopita
Screenshot_20210308-193316.jpg
 
Kuna shida kwa watoa huduma hawa hili tatizo la kupunguza kasi ya matumizi kwenye data huu ni mpango maalum baada ya serikali kuwakomalia juu ya wizi wanaotufanyia.
Speed ni mwendo wa jongoo kitu ambacho hakijawahi kuwepo hapo kabla.
Inaker sana unafungua video inaload muda mrefu.
Si bora waseme kuna nini?
 
Hawa jamaa mwezi uliopitwa si walipigwa fine na TCRA kuhusu kutoa huduma zisizofikia kiwango
 
Back
Top Bottom