Kuna sheria yoyote inayoruhusu waislamu peke yao kuchinja nyama popote? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna sheria yoyote inayoruhusu waislamu peke yao kuchinja nyama popote?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FINDTRUEFAITH, Mar 24, 2011.

 1. F

  FINDTRUEFAITH New Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NIMESHUHUDIA KWA MUDA MREFU MIGOGORO ISIYO YA LAZIMA IKIIBUKA KATIKA JAMII YETU KUHUSIANA NA SUALALA UCHINJAJI WA NYAMA KWA AJILI YA KITOWEO CHA jamii nzima. nani alitoa idhini kwa dini moja tu kuchinja kwenye machinjio hata ya kiserikali? Katiba inasema kuhusu hilo?. Kesi zilizoko mahakamani kuhusu watu wa dini zingine waliochinja nyama kwa ajili ya kuuzwa zinasimamiwa na sheria gani? Waziri wa Mifugo mwenye dhamana analionaje hilo?.Ushahidi zaidi tembelea :Find True Faith angalia makala za nyuma.

  JF MEMBERS NAOMBA UFAFANUZI KABLA SIJARUDI TENA
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Kwanza Karibu sana

  Join Date : 24th March 2011Posts : 1


  Then nenda kajitambulishe kwenye Jukwaa la wageni halafu karibu tena
   
Loading...