Kuna sheria ya mirathi inayo mkataza mwanafamilia kujenga katika eneo la familia bila kuuza alichojenga?

inategemea umetokea Mkoa gani na eneo hilo ni la asili toka Mababu hapo huwezi kupauza kwani utasababisha familia au mtu mwenye tabia nyingine za kiimani ushirikina na uchawi kumkaribisha eneo lenu
lakini km huku Kongwa njoo tu wanakuuzia na wote wanahama kusogea porini
 
Cha msingi kaaa na Familia yako vizuri,,,, ikiwezekana mfanye makubaliano wachangishane wanafamilia wakuludishie gharama Zako au Pesa yako ulioiwekeza hap.....

1 + 1 - 1 = 1
 
Back
Top Bottom