okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,629
Hello guys,
Nimekuwa nikizunguka maeneo ya Moshi na Arusha kwa ajili ya bata za usiku. Sasa sometimes(sio mara zote) ukiwa nje ya nightclub, maybe kwenye mgahawa ulio open, kwa Moshi kuna aina ya polisi wanaitwa makuruta. Sometimes wakikukuta kwenye mgahawa wa nje ya club muda wa usiku wa manane, ukiwa umekaa hata kama huna kosa wala silaha yoyote, wanaanza kukupa amri za kijinga, na adhabu, sasa kama RAIA inabidi utii kwa kuogopa usumbufu wa kupelekwa lockup na kubambikiwa kosa ambalo hujalifanya.
Wao kulinda usalama muda wa usiku si kosa, lakini kama wanahisi mtu ni kibaka? Kwanini wasimfate MTU kistaarabu, wamwambie tumekusimamisha kwa sababu a,b,c halafu waanze kum-search wakimkuta na silaha, mirungi au bangi, cocaine, ndo wamtie hatiani?
Kwa Arusha ukikamatwa na Polisi usiku wa manane, ukutwe na kosa au usikutwe na kosa, kituoni utapelekwa na rushwa utatoa, usipotoa rushwa unaenda magereza kwa kosa la kubambikiwa.
Inasemekana eti mkuu wa wilaya huko Arusha alitoa amri watu wasitembee usiku, hivi amri ya kiongozi automatically inakuwa ni sheria?
Waliokutana na maswaibu kama hayo na walio na ujuzi wa sheria watufahamishe.