kuna sheria gani inayowasaidia Watanzania waliofunga ndoa na foreigners inapotokea kudhulumiana haki

jameeyla

Senior Member
Aug 12, 2011
119
29
Hivi watanzania waliolewa na foreigners inapotokea kaachwa na hajalipwa haki zake sheria gani inamsaidia mtanzania kama huyu ili kupata msaada,,ikiwa pia kaachiwa na watoto? Na foreigner kasharudi kwao?

Kwa wamarekani ubalozi wao hapa hukataa kabisa kumsaidia mtu wa namna hii na wanakuambia kama huwezi kumlea mtoto serikali yao imchukue na upoteze haki kabisa ya kummliki mtoto huyo kwani akifika huko marekani kuna watu wanakuja kuadopt watoto huko kwa hiyo inakula kwako!
 
Swali zuri ila jibu mie sina. Kuwa very safe ni bora kuhangaika na mbongo mwenzio
 
Haya mambo huwa yanashughulikiwa na sheria zinaitwa private international law au conflict of laws. unaweza kugoogle ili kuweza kupata walao ABC zake.
 
kama anaweza kwenda huko nchini kwa huyo mwanaume kumsue ni vyema,wataangalia tu sheria za nchi waliyofungia ndoa zinasemaje basi...
 
Back
Top Bottom