Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

Kwani ruaha mbuyuni na iringa mjini kuna kilometer ngapi,,, mana nilishwahi pita iringa mjini kule gangilonga kuna baridi kama uko kwenye friji,,, sasa mnaposema ruaha mbuyuni kuna joto zaidi ya dar wakati baridi ya iringa inaanzia pale tu unapoanza mlima wa kitonga, hapo kidogo mmeniacha ndugu zangu
Hao wana kupotosha nenda ukanda wa mlima nyang'oro uone motooo
 
Muda mfupi uliopita, hali iko hivi. Nipo 60 area
Screenshot_20211115-203108_Google.jpg
 
Back
Top Bottom