Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,326
- 6,848
UFO's zimekuwa zkionekana zikiwa zinaendeshwa na binadamu ambao wanaoekana kuwa wana Teknoloji ya juu mno kutuzidi sisi. Kwa hiyo kwa kipindi hiki, vitu ambavyo vinaonekana kuwa havikutengenezwa na binadamu wa kawida kama sisi, the chances ni kwamba vimetengenezwa na binadamu hao au vimetengenezwa na binadamu wengine ambao waliwahi kuishi hapa duniani kabla ya kizazi chetu hiki, ambao walikuwa ma-giants na pia walikuwa na teknoloji ya juu kuliko ambayo tuliyonayo sisi hadi kufikia sasa!anaObviously naongelea binadamu wa zamani. Ndio kuna vitu havieleweki lakini uwezekano wakutengenezwa na binadamu ni mkubwa zaidi kuliko na viumbe wengine.
Anyways only time will tell.