LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,124
- 11,114
Kwa mujibu wa NASA kwa kutumia Telescope yao kubwa hadi sasa wamegundua kuna sayari zaidi ya Billioni 30 katika Milkway Galaxy yetu, pia hadi sasa wamegundua kuwa kuna Sayari Billioni Miamoja (100,000,000,000) katika Universe na bado nyingine zinaendelea kugunduliwa kadri teonolojia inavyozidi kuongezeka.
Pia wanasayansi kwa kutumia Teleacope na vifaa vingine vyenye uwezo mkubwa wamegundua kuwa kuna sayari nyingi nnje ya Solar system yetu zina vyanzo vya maji sema zipo mbali sana linapokuja swala la kuzifikia ndio inakuwa nibshida kulingana na Teknolojia ya sasa.
Je katika Universe nzima ambayo hadi sasa zimeonekana sayari zaidi ya Billioni 100, yawezekana viumbe hai tupo peke yetu tu hapa Duniani au kuna sehem nyingine huko anga za mbali kuna wenzetu wanaishi kama sisi?
Sent using Jamii Forums mobile app