Kuna sayari zaidi ya Billioni 100 katika Universe, Je Viumbe hai tupo peke yetu ?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,122
11,110
Kwa mujibu wa NASA kwa kutumia Telescope yao kubwa hadi sasa wamegundua kuna sayari zaidi ya Billioni 30 katika Milkway Galaxy yetu, pia hadi sasa wamegundua kuwa kuna Sayari Billioni Miamoja (100,000,000,000) katika Universe na bado nyingine zinaendelea kugunduliwa kadri teonolojia inavyozidi kuongezeka.
europeanextr.jpeg

300px-Planets_everywhere_(artist%E2%80%99s_impression).jpeg

Pia wanasayansi kwa kutumia Teleacope na vifaa vingine vyenye uwezo mkubwa wamegundua kuwa kuna sayari nyingi nnje ya Solar system yetu zina vyanzo vya maji sema zipo mbali sana linapokuja swala la kuzifikia ndio inakuwa nibshida kulingana na Teknolojia ya sasa.
universe.jpeg

Je katika Universe nzima ambayo hadi sasa zimeonekana sayari zaidi ya Billioni 100, yawezekana viumbe hai tupo peke yetu tu hapa Duniani au kuna sehem nyingine huko anga za mbali kuna wenzetu wanaishi kama sisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sayari nyingi sio supportive kwa maisha ya viumbe, nnaowasikia ni alliens na sijui wanatoka sayari gani, wanakula nini, wanakufa au hawafi?
 
Binafsi hili jambo huwa nalichukulia kama jinsi binadamu anavyozaliwa means that kuna mbegu nyingi lkn inayopata nafasi ni 1 au 2...
Hiyo haimaanishi kuwa tupo pekee ila kuanzishwa kwa uhai mahala fulani ni kama chance.
Moja kwa Moja jibu utakalopata humu hakuna mwenye uthibitisho ila mazingira kwangu mimi Binafsi yananifanya nifikiri kuwa kuna viumbe mahala pengine.
Moja kati ya kitu ni kuwepo kwa nyota nyingi na sayari nyingi hili kwanza linatosha kufavour kuwa hatupo pekee kwani kuna fanya probability ya maisha kuwako huko anga za mbali chengine ni kama tungekuwa tupo pekee basi duniani ndo pangekuwa pana majibu ya kuwa uhai umeanzia hapa.
 
Kwa mujibu wa NASA kwa kutumia Telescope yao kubwa hadi sasa wamegundua kuna sayari zaidi ya Billioni 30 katika Milkway Galaxy yetu, pia hadi sasa wamegundua kuwa kuna Sayari Billioni Miamoja (100,000,000,000) katika Universe na bado nyingine zinaendelea kugunduliwa kadri teonolojia inavyozidi kuongezeka.
View attachment 1011198
View attachment 1011199

Pia wanasayansi kwa kutumia Teleacope na vifaa vingine vyenye uwezo mkubwa wamegundua kuwa kuna sayari nyingi nnje ya Solar system yetu zina vyanzo vya maji sema zipo mbali sana linapokuja swala la kuzifikia ndio inakuwa nibshida kulingana na Teknolojia ya sasa.
View attachment 1011200

Je katika Universe nzima ambayo hadi sasa zimeonekana sayari zaidi ya Billioni 100, yawezekana viumbe hai tupo peke yetu tu hapa Duniani au kuna sehem nyingine huko anga za mbali kuna wenzetu wanaishi kama sisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumu kumeza hii walahi

Lazima kuna viumbe hai sehemu zingine ila hatuna uwezo wa kuviona....jiulize Yesu iko hai ila hatumuoni iko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sayari nyingi sio supportive kwa maisha ya viumbe, nnaowasikia ni alliens na sijui wanatoka sayari gani, wanakula nini, wanakufa au hawafi?
Mkuu usiseme sayari nyingi siyo supportive kwa maisha.Usichukulie kuwa viumbe wote wawe kama viumbe wa sayari hii walivyo.Wanaweza kuwa na hali kulingana na hali ya mazingira ya sayari za huko. Biblia inaunga mkono hicho kitu.
Matayo 18:12-13 Neno: Bibilia Takatifu
12 “Mnaonaje? Kama mtu ana kondoo mia moja na mmoja wao akapotea, hatawaacha wale tisini na tisa mlimani aende kumtafuta yule aliyepotea? 13 Na akisha mpata, nawaambia kweli, anafurahi zaidi kwa ajili ya huyo kondoo mmoja kuliko kwa wale tisini na tisa ambao hawakupotea.

Luka 15:8-10 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)Shilingi Iliyopotea
8 “Au tuseme mwanamke ana shilingi kumi halafu apoteze moja. Si atawasha taa afagie nyumba na kutafuta kwa uangalifu mpaka aipate? 9 Na akisha kuipata atawaita marafiki zake na majirani na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami; nimeipata ile shilingi yangu iliyopotea!
Kutoka kwenye hiyo mistari inaweza kuwa ni taarifa kuwa sayari yetu iliyoingia dhambini ni asilimia moja katika ya sayari zenye binadamu lakini Mungu /Yesu akaacha zile zingine akaja kutafuta /kukomboa moja iliyopotea.
 
Mifano hii huwa inanifanya niamini kabisa ulimwengu ni Fumbo kubwa ndo maana hata Mungu wetu amejificha japo yeye alimwambia MUSA hakuna mtu atayemuona USO wake na akaishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa NASA kwa kutumia Telescope yao kubwa hadi sasa wamegundua kuna sayari zaidi ya Billioni 30 katika Milkway Galaxy yetu, pia hadi sasa wamegundua kuwa kuna Sayari Billioni Miamoja (100,000,000,000) katika Universe na bado nyingine zinaendelea kugunduliwa kadri teonolojia inavyozidi kuongezeka.
View attachment 1011198
View attachment 1011199

Pia wanasayansi kwa kutumia Teleacope na vifaa vingine vyenye uwezo mkubwa wamegundua kuwa kuna sayari nyingi nnje ya Solar system yetu zina vyanzo vya maji sema zipo mbali sana linapokuja swala la kuzifikia ndio inakuwa nibshida kulingana na Teknolojia ya sasa.
View attachment 1011200

Je katika Universe nzima ambayo hadi sasa zimeonekana sayari zaidi ya Billioni 100, yawezekana viumbe hai tupo peke yetu tu hapa Duniani au kuna sehem nyingine huko anga za mbali kuna wenzetu wanaishi kama sisi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kulingana na aya ya Qur'an Mungu anasema wapo viumbe wengine ambapo Mungu atakapopenda atatuunganisha nao anavyojua.
 
Naamini kila sayari ina mfumo wake wa maisha ya tofauti na vile sisi tunavyofikiria. Inawezekana kabisa viumbe wengine wakija huku wanajua hakuna maisha yanayoendelea kabisaaa
Hii ni dhana fikirishi sana.je macho yana mwisho wa kuangalia vitu.na Kuna vitu vingine havionekani kwa macho ya kawaida.kwanini Kuna microscope.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aya yenyewe ndiyo hiyo ambayo inazungumzia juu ya viumbe waliopo duniani (in the earth) na wsle waliokuwepo mbinguni (in the heavens)

And among His signs is the creation of the heavens and the earth and whatever living creatures He has spread forth in both. And He has the power to gather them together when He will so please. (42:29) Al qur'an.
 
Back
Top Bottom