Kuna sababu ya hivi vitabu vya dini kutumika vibaya au kuwa vimekosewa

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Kiukweli sitaki kuzungumzia Imani ya mtu yoyote hapa jukwani wala kutaja dini fulani bali kufumbuana kuhusu hili.

Wote tuna dini na imani na ndiyo inatufanya kuamini mungu yupo au shetani yupo.
ila kitu cha kushangaza katika vitabu vyetu naweza sema kutumika vibaya au kukosewa kwa tunavo soma au tunavofundishwa.

Haya yote leo tunayo yaona usishangae ni kwa sababu ya hivi vitabu kama kichwa cha habari kinavosema.

Kuna mda unaweza jiuliza kama ugaidi kupitia dini zetu,dini za ajabu na mengineyo.

Nini kitu kinacho tufanya haya yote !
kama ni mwanadamu anaweza kutumia vibaya kitabu au aliyechapisha alikosea
 
Hakuna dini ina sapoti igaidi

Magaidi duniani kote wanatengenezwa na wamarekani kwa maslahi yao binafsi chunguza utaelewa namaanisha nini
 
Back
Top Bottom