Kuna Sababu Gani Kisiasa,Kiuchumi Na Kiusalama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna Sababu Gani Kisiasa,Kiuchumi Na Kiusalama?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Columbus, Nov 1, 2011.

 1. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kama nilisikia vizuri nchi ya Tanzania imetoa tamko la kuunga mkono uamuzi wa serikali ya Kenya kuingia Somalia ili kuwasambaratisha Al Shabab, hivi naomba kuuliza kulikuwa na manufaa yoyote kwa Tanzania kutoa tamko kama hilo? hamuoni kwa kufanya hivyo mnatangaza ugomvi na hao magaidi? mpaka sasa ya ndani kwetu yanatushinda inakuwaje mtutafutie mgogoro mwingine. Naomba MWONGOZO.
   
Loading...