Kuna rocket imetumwa huko angani ikagonge mwamba unaohatarisha kugonga dunia

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,140
2,000
waache kujipa kiki hao jamaa!!Dunia italindwa na yule alieitengeneza Dunia ilivyo!!!!Tena wasije wakafanya yao wakidhani wanatengeneza kumbe ndio majanga yakazidi kwa Dunia!!Hekima ya Binadamu ni upumbavu kwake yeye alieitengeneza Dunia!!WATAJUAJE KAMA HILO JIWE NDIO NGUZO YENYE KANI ISABABISHAYO UTULIVU KWA SAYARI ZOTE???
Una kiwango gani cha elimu
 
fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
7,551
2,000
Kuna koment nyingine ukisoma mpaka unawaza huyu mtu (watu) anayatimiza vipi majukumu yake na yawanaomzunguka?! Kama jambo hulielewi wala hauna idea nalo si usome tu labda in one way or another unajifunza pia? Vijana tusikurupuke tu kuropoka mambo yanayodhihirisha ujinga tulionao vichwani.
Let's be intuitives and knowledge seekers.
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,944
2,000
waache kujipa kiki hao jamaa!!Dunia italindwa na yule alieitengeneza Dunia ilivyo!!!!Tena wasije wakafanya yao wakidhani wanatengeneza kumbe ndio majanga yakazidi kwa Dunia!!Hekima ya Binadamu ni upumbavu kwake yeye alieitengeneza Dunia!!WATAJUAJE KAMA HILO JIWE NDIO NGUZO YENYE KANI ISABABISHAYO UTULIVU KWA SAYARI ZOTE???
Wewe endelea kutengeneza kimpumu huko kijijini kwako haya mambo ni mazito kwa uelewa wako. Wenzetu walishaendelea kwenye teknolojia na sayansi na ndio maana unatumia simu zao. Na bado unaabudu Mungu yuleyule waliyekuletea wao wakakufundisha na kukukaririsha uku wanachukua rasilimali zako
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,944
2,000
Hili ni dili la kuchota matrillion kwa kutishiana vitu ambavyo havipo, hapa nchi zote tutachangishwa pesa kwa madai wanarusha makombora ya kulipiga hilo jiwe, kumbe wanarusha sattelite zao tu, na mchango tunalipishwa
Umechangishwa na nani? Ni nchi gani duniani imechangia na ni kiasi gani? Unadhani NASA ni mabakuli FC kama serikali yako isiyo na uwezo wa kujenga vyoo mashuleni mpaka wazungu waje watoe msaada wanafunzi waweze kujisaidia.

NASA wana annual budget inayozidi ya Tanzania
 
Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,580
2,000
Mkuu mi nawaza ni lini tz tutaweza kuinvest kwenye vitu kama hivyo na si kuhangaika na ujenzi wa vyoo bora
Kuna faida gani katika kuwekeza katika maigizo zaidi ya kujitekenya na kucheka mwenyewe. Maana ya maigizo ni kuongeza au kupunguza katika uhalisia bora uendelee kuwa maskini na nyuma kimaendeleo ila ukaishi katika uhalisia kuliko kuishi katila maigizo na kufurahisha mioyo yao.

Katika Sayansi iliyo feli na iliyo kaa kimaigizo ni Sayansi ya anga,kwayo mtu unakuwa na maswali ambayo hayajibiki wala wanaofanya tafiti za anga hawajahi kufikiria.

Endapo mtu ukiwa ni mwenye tabis ya kufikiri japo kidogo utapata maswali ambayo hayajibiki. Shida ya wengi wanapenda kuona wenye mambo yao washajua ya kuwa watu wanapenda kuona sana kuliko kuhoji,basi wahusika wanawaonyesha tu. Teknolojia imefika mbali sana na watu hawahoji juu ya teknolojia,mtu akifanya animation utajuaje akitengeneza picha utajuaje ila ukiwa mtu wa kuhoji uongo lazima ujitenge.

Ukiijadili hii mada kwa jicho la uhojaji na elimu hutapata uhalisia hata mmoja zaidi ya sanaa tu.
 
SPYMATE

JF-Expert Member
Apr 17, 2013
1,574
2,000
waache kujipa kiki hao jamaa!!Dunia italindwa na yule alieitengeneza Dunia ilivyo!!!!Tena wasije wakafanya yao wakidhani wanatengeneza kumbe ndio majanga yakazidi kwa Dunia!!Hekima ya Binadamu ni upumbavu kwake yeye alieitengeneza Dunia!!WATAJUAJE KAMA HILO JIWE NDIO NGUZO YENYE KANI ISABABISHAYO UTULIVU KWA SAYARI ZOTE???
1. Mbingu itapo chanika,�

2. Na nyota zitapo tawanyika,�

3. Na bahari zitakapo pasuliwa,�

4. Na makaburi yatapo fukuliwa,�

5. Hapo kila nafsi itajua ilicho tanguliza, na ilicho bakisha nyuma.�

6. Ewe mwanaadamu! Nini kilicho kughuri ukamwacha Mola wako Mlezi Mtukufu?�

7. Aliye kuumba, akakuweka sawa, akakunyoosha,�

8. Katika sura yoyote aliyo ipenda akakujenga.�

9. Sivyo hivyo! Bali nyinyi mnaikanusha Siku ya Malipo.�

10. Na hakika bila ya shaka wapo walinzi juu yenu,�

11. Waandishi wenye hishima,�

12. Wanayajua mnayo yatenda.�

13. Hakika wema bila ya shaka watakuwa katika neema,�

14. Na hakika waovu bila ya shaka watakuwa Motoni;�

15. Wataingia humo Siku ya Malipo.�

16. Na hawatoacha kuwamo humo.�

17. Na nini kitakacho kujuulisha Siku ya Malipo ni siku gani?�

18. Tena nini kitakacho kujuulisha Siku ya Malipo ni siku gani?�
S

19. Siku ambayo nafsi haitakuwa na madaraka yoyote juu ya nafsi; na amri yote siku hiyo ni ya Mwenyezi Mungu tu.
(suratul AL - INFIT'AAR)
Sijui watazuia vingapi hawa hili kupingana na maandiko ya muumba
 
Renegade

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
6,388
2,000
waache kujipa kiki hao jamaa!!Dunia italindwa na yule alieitengeneza Dunia ilivyo!!!!Tena wasije wakafanya yao wakidhani wanatengeneza kumbe ndio majanga yakazidi kwa Dunia!!Hekima ya Binadamu ni upumbavu kwake yeye alieitengeneza Dunia!!WATAJUAJE KAMA HILO JIWE NDIO NGUZO YENYE KANI ISABABISHAYO UTULIVU KWA SAYARI ZOTE???
Kongole na Mimi pia nilikuwa na mawazo kama yako, ingekuwa ni jiwe linaelekea kuidhuru Dunia nafikiri lingeshafika siku nyingi, Kama wanaweza kutuma chombo kulifuata jiwe maana yake jiwe pia linaweza kuja Duniani, lakini mpaka sasa liko kwenyemzunguko, Hii inaashiria kuwa huenda jiwe linaikinga Dunia na athari tusizozijua.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom