GOOD MORNING to every member of JF who will read this...

Kuna PUNYETO ama kujichua au vijana wanaita KUJITAFUNA MWENYEWE.. Halafu pia kuna TENDO LA NDOA LENYEWE KATIKA UHALISIA WAKE...

Lengo la mtu kufanya hivi vitu nafikiri lengo kuu huwa ni kumaliza tamaa za ngono tu. Lakini kinachonichanganya ni kwamba NIKIWA NAPIGA PUNYETO hamu yake haiishi kabisa, nitapiga leo, na kesho na keshokutwa na kila siku napiga na hamu haiishi kabisa.

Lakini nikiwa nafanya TENDO LA NDOA LENYEWE KATIKA UHALISIA WAKE naweza fanya siku mbili mfululizo au tatu baada ya hapo hamu zinaisha kabisa najiskia mwepesi naweza nalala na mwanamke mpaka asubuhi hata nisimfanye chochote, kwa kifupi naweza kaa hata siku mbili au tatu ndo nipate tena hamu ya kumchakata dem, ila nikisha gusa tu nyeto ndo basi hamu haiishi nakuwa napiga kila siku.

Sasa swali langu la msingi, kwanini ukiwa unapiga nyeto hamu inakuwa haiishi kirahisi kiasi kwamba waweza piga kila siku ila ukifanya tendo la ngono lenyewe kabisa kwa siku labda 2 au 3 mfululizo basi unaridhika kabisa waweza kaa siku 4 au 5 ndo unapata hamu ya kufanya tena ? Ila nyeto unatamani tu upige kila siku an why?

Uhusiano wa nyeto na tendo halisi ukoje an !

Nawasilisha.
Khanisi mtalajiwa.
 
Jinyetue bao 3 mfululizo uone Kama utapata ham ya nyeto ndani ya hio wiki
Endeleeni kupiga nyeto baadaye faida yake mtaiona, unakuwa na mke nguvu za kiume huna halafu toto limenona unakula kwa macho tu, masela mtaani wanabutuwa tu.

IMG-20220125-WA0004.jpg
 
Mi sa sijui ndo nipo kundi lipi maana naweza kaa hata miezi 6 lakini lazima siku moja tuu nta nyetukaa...

Ila Dah... Nyeto huku una kichupa cha nchi 45 uwangalie O sex+ Uwe na Futa la Nazi mlio uwe wa mbaliiii dah... Broo unaweza chomoa bomba sehem yakee

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mi sa sijui ndo nipo kundi lipi maana naweza kaa hata miezi 6 lakini lazima siku moja tuu nta nyetukaa...

Ila Dah... Nyeto huku una kichupa cha nchi 45 uwangalie O sex+ Uwe na Futa la Nazi mlio uwe wa mbaliiii dah... Broo unaweza chomoa bomba sehem yakee

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
sema futa la nazi limekaa mkao sana
 
Kama 'kwa kawaida' namaanisha 'ni kiasi gani mtu inastahili kufanya masterbation' lakini pia ndio sio kawaida kwa mwanaume kuwa hajawahi kabisa hata kujaribu kufanya. Je kuna tatizo lolote kama mtu usipofanya? Jibu ni hapana ,lakini; sio jambo la kawaida kabisa.

Sio kawaida kabisa kwa mwanaume rijali kama hajawahi kabisa kupiga puchu hata mara moja katika maisha yake. Lakini hii haileti maana kwamba mwanaume huyu ana shida kisaikolojia wala kiafya kwa kutojaribu 'mastabashen'. Labda ni kawaida sana kwa baadhi ya jamii kutojihusisha na jambo hili kuliko wengi tunavyojua.

Baadhi ya watu mahitaji yao ya kingono yapo chini so wanaona muda mwingine sio dili. Hii ni jambo zuri ikiwa hivyo.

-: Nashindwa kuelewa ilikuwaje ukajua kwamba ukishika ile nyama na kusugua sugua unapata utamu??😄😄
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom