kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 1,996
- 5,052
Kuna programming language nyingne ni bora uzitumie tu kuandika web Apps za kawaida sana na usije ukazitumia kufanyia projects za mahesabu makubwa makubwa otherwise a single 'human error' can cost you deadly.
Yaan baada ya kupata error call au exception unapofanya human error hizo language zitarun hivyo hivyo kimya kimya na kukupa loss ya maana.
Mfano wa language hizi ni javascript na php ila leo nataka tuongelee javascript.
Kwenye javasript
'2' + '2' + '2' = '222';
lakini
'2' + '2' - 2 = 20 (hapa ilibidi i throw error coz number na strings haziwezi kuwa operated mathematically lkn yenyewe inacalculate tu.!!!!)
I hope real programmers mtaelewa hii kitu