Kuna picha ya Rais Samia inasambaa mitandaoni ikimwonesha yupo na mzungu mmoja

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Wakuu salamu.

Kuna picha ya Rais Samia inasambaa mitandaoni ikimwonesha yupo na mzungu mmoja hivi.

Watu wengi wamekuwa na maoni negative kuhusiana na hiyo picha?

Je,kwa mtazamo wako ukiitazama hiyo picha je wewe unaona ina shida?
FB_IMG_1649960151082.jpg
 
Wakuu salamu.

Kuna picha ya Rais Samia inasambaa mitandaoni ikimwonesha yupo na mzungu mmoja hivi.

Watu wengi wamekuwa na maoni negative kuhusiana na hiyo picha?

Je,kwa mtazamo wako ukiitazama hiyo picha je wewe unaona ina shida?View attachment 2189136
Mzungu hakuonesha heshima kwa rais na pia mke, Mama wa mtu, jinsi alivyosimama.
 
Back
Top Bottom