Kuna orodha ndefu ya Wabunge wa CCM hawajahudhuria vikao 3 vya Bunge na hawajafukuzwa...!!

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Kitendo cha Spika wa Bunge Ayubu Ndugai kumfukuza Mhe. Joshua Nassari kuwa hajahudhuria vikao 3 mfululizo ni cha kinafiki, uonevu na dhuluma kwa Wapiga kura wa Jimbo la Arumeru. Sina hakika kama kuna mawasiliano yoyote ya Spika Ndugai kumwonya Mhe. Nassari kuwa alikuwa amekosa kikao cha 1 na cha 2 na kusudio la kumfuta Ubunge.....Maadili ya Utumishi yanaelekeza mtumishi kupewa onyo, karipio na karipio kali kabla ya kufukuzwa kazi.

Katika hili la Mhe. Nassari kinachodhihirika kwa uwazi kabisa ni CHUKI YA SPIKA NDUGAI DHIDI YA WABUNGE WA UPINZANI. Haingii akilini kumfukuza Mbunge na kuingia kenye GHARAMA KUBWA ZA UCHAGUZI ilhali bado MWAKA 1 na ushei kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka kesho 2020. Hii ni akili ya matope kabisa kuliingiza taifa kwenye gharama za kihuni kisa kuwakomoa WAPINZANI.

Nina hakika Spika Ndugai asingeliweza kufanya hivo kwa Mbunge yeyote wa CCM awe wa kuchaguliwa au wa kuteuliwa. Asingeliweza. Lakini kwa vile Spika Ndugai na Jiwe walisahjiapiza kuwashughulikia Wabunge wa Upinzani hasa CHADEMA ndo maana tunaona huu uhuni na ukikkwaji mkubwa wa Sheria, kanuni na Katiba ya nchi kwa ujumla ili kuua upinzani.

Wahenga walisema MWISHO WA UBAYA NI AIBU...Iko siku Watawala wa CCM watakuja jutia huo uovu wanaowafanyia Watanzania kwa hoja iliyo dhaifu sana ya Upinzani. Malipo huwa ni hapahapa kabla mtu hujaiaga dunia lazima uoneshwe maovu yako papa hapa. Ni swala la muda tu.
 
Ewe lofa acha kutetea ujinga kwa kuwa tu huo ujinga umeangukia Chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
orodhesha basi hao wabunge mkuu manake naona unarusha rusha miguu

Orodha wanayo Spika wako Ndugai na kigagula Tulia Akson.....tunataka wao waiweke hadharani na wasipofanya hivo itawekwa hadharani....!! Haiwezekani Nduagi aone jina la Mbunge wa CHADEMA pekee na majina ya Wabunge wa CCM asiyaone....!!!Sababu ni zilezile za kijinga....HUYO NI MWENZETU CCM...!
 
maneno mengi ya nini kwa mahakama c zipo nendeni mkadai haki

Wewe unaishi nchi ya Wagagagigikoko nini?
Kwa akili yako unafikri Tanzania kuna MAHAKAMA zenye kutoa HAKI kulingana na na SHERIA NA KATIBA za nji hii? Kama Mbowe na Matiko wamesota miezi 3 Mahabusu kwa sababu za kishenxx unategemea matokeo gani?Hujasikia kule Tabora kuna mtu kabambikiwa kesi ya MAUAJI ilhali hahusiki wala hajui chochote kuhusu mauaji? Lakini kwasababu MFUMO WA SHERIA NA MAHAKAMA TANZANIA UMEPARAGANYIKA tunashuhudia vihoja kila kona ya nji hii..!!!
 
Kikao Cha kwanza _abscent
Kikao Cha pili _absent
Kikao Cha tatu_bado unataka onyo sijui karipio!!! Basi sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Katika nchi au Taasisi yoyote yenye mfumo wa UTAWALA BORA...mawasiliano ni 2 ways( chini- juu -chini). Lakini kwa vile tuna utawala DHAIFU NA DHALIMU tena wa kuviziana....one mistake one goal ndo maana tunashuhudia huu upuuzi kwenye taasisi za Tanzana hivi leo. From state house to ten-cell leaders!!!The government machinery is rotten to the core....hii hali inamwihitaji Mungu kuibadilisha...!!..
 
Nimesema basi sawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli maswli ni mengi kuliko majibu. hivi spika alishindwa kuwasiliana na mbunge nasari muda wote huo? alisubiri hadi mikutano mitatu ifike? pia nasari muda wote huo alikuwa wapi?
 
LIMBOMAMBOMA,
Nimeshasema huu ni utawala wa hovyo kabisa tangu Tanzania hii ipate Uhuru.
Ni utawala wa KUVIZIANA ili kuwakomoa Wapinzani kana kwamba nji hii ni ya chama kimoja...non-sense!
 
Back
Top Bottom