Kuna njia za kutambua kama nimepigwa limbwata?

Riyan

Member
Nov 10, 2021
80
150
Dalili za limbwata

Kuwahi kurudi nyumbani

Kumwambia mke wako kiasi cha mshahara unacho pokea

Kuongozana na mke wako kama kundi la Westlife mda wote mpo pamoja

Kushona sare

Kupiga umbea na mke wako

Mke kukufokea na kukaa kimya usimpige hata kofi

Ukitaka utafune mchepuko unaogopa au dushe kuzima kabisa

Kutopenda ndugu zako waje kwako

Kupenda ndugu pamoja na ukweni kuliko kwako ulikozaliwa

Kusaidia ndugu wa mke kuliko wako

Kumwambia siri zote mke wako

Na mengineyo wengine watakujuza
 

mjanja wa kijiji

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
1,085
2,000
Kumkumkuta mkeo na viashiria vyote vya kukusaliti lakini ukitaka kumfokea nafsi inasita au uoga unakuingia, hapo ujue kwisha habari yako.
 

Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
3,156
2,000
Daah comments za hii thread unaweza kuzimia au kupaliwa chakula/maji kwa kicheko...

Watu sijui mnawazaga nini tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom