Kuna nini vijana hawa kupunguza kuitetea CCM yetu mitandaoni?

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Habari wanajf

Kuna kitu kinanipa wasiwasi na kufanya nijiulizwe maswali kadhaa juu ya baadhi ya wanaccm waliokuwa na kazi maalumu ya kukitetea chama hiki katika mitandao ya kijamii. Vijana hawa wapo miongoni mwa lile kundi maarufu kama wapiga makofi. Wapo kwa ajili ya hata kuhalalisha mabaya ya ccm kuwa mazuri.

Miongoni mwao kwa sasa wamepotea kabisa na wengine wamebaki wanajitojeza Mara Moja Moja tena kwa kujikongoja
Miongoni mwao ni wenye ID hizi
Faizafoxy
Chabruma
Simiyu yetu
Stroke
Msemajiukweli ( siku amekuwa mkosoaji)

Nini kimewapata? Au maslahi madogo?
 
Wapo busy kuisoma namba......Bila shaka walitapeliwa buku saba zao.

'Kunyweni maji wanangu' kwahiyo wameona bora waache kazi kwa hiyari.
 
wale jamaa wa gazeti la ccm nao wako kama shigogo wanadai malimbikizo yao ya buku saba ndio maana wanaisoma numbe

swissme
 
Habari wanajf

Kuna kitu kinanipa wasiwasi na kufanya nijiulizwe maswali kadhaa juu ya baadhi ya wanaccm waliokuwa na kazi maalumu ya kukitetea chama hiki katika mitandao ya kijamii. Vijana hawa wapo miongoni mwa lile kundi maarufu kama wapiga makofi. Wapo kwa ajili ya hata kuhalalisha mabaya ya ccm kuwa mazuri.

Miongoni mwao kwa sasa wamepotea kabisa na wengine wamebaki wanajitojeza Mara Moja Moja tena kwa kujikongoja
Miongoni mwao ni wenye ID hizi
Faizafoxy
Chabruma
Simiyu yetu
Stroke
Msemajiukweli ( siku amekuwa mkosoaji)
Nini kimewapata? Au maslahi madogo?

FaizaFoxy pia amekuwa mkosoaji! Yeye na Msemajiukweli wamekuwa kama popo! Wanakosoa CCM na JPM lakini pia wanakosoa Upinzani. Hii nina hakika ni kwa vile hata wao WANAISOMA namba! Kama ulikuwa unakunywa BIA 1 kwa siku sasa inabidi unywe KIMPUMU,VIROBA au MNAZI. Hapa Kasi Tu!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom