Kuna nini vijana hawa kupunguza kuitetea CCM yetu mitandaoni?

Kampeni zimeisha na uchaguzi umeisha na sisiemu walishinda uchaguzi wa rais na pia wingi wa wabunge ktk bunge, KWA MWENYE AKILI ATAKWAMBIA KUWA KAZI YAO KWA AJILI YA UCHAGUZI ULIOPITA ILIKAMILIKA, wanasubiri 2020, ni wafa maji ndo wako bize mitandaoni.

Kama wewe, naona unakomaa kinyamwezi.
 
Hizi akili sijui watu kama wewe mnakuwa mmerithi wapi!!!
Aliyewambia nani mi ni lumumba au la, sio anti chadema yeyote ni lumumba.
Kuna tofauti ya mimi na hao uliowataja, kwanza kabisa siwekagi uzi za kisiasa, nina comment tu kama umenisoma.

Wewe fisiem usijikane
 
Habari wanajf

Kuna kitu kinanipa wasiwasi na kufanya nijiulizwe maswali kadhaa juu ya baadhi ya wanaccm waliokuwa na kazi maalumu ya kukitetea chama hiki katika mitandao ya kijamii. Vijana hawa wapo miongoni mwa lile kundi maarufu kama wapiga makofi. Wapo kwa ajili ya hata kuhalalisha mabaya ya ccm kuwa mazuri.

Miongoni mwao kwa sasa wamepotea kabisa na wengine wamebaki wanajitojeza Mara Moja Moja tena kwa kujikongoja
Miongoni mwao ni wenye ID hizi
Faizafoxy
Chabruma
Simiyu yetu
Stroke
Msemajiukweli ( siku amekuwa mkosoaji)

Nini kimewapata? Au maslahi madogo?
mkuu, naona labda wameamua kujikengeusha kwa staili ya u-tun kama jina lako kutoka Lizaboni hadi Nibozali!
 
Habari wanajf

Kuna kitu kinanipa wasiwasi na kufanya nijiulizwe maswali kadhaa juu ya baadhi ya wanaccm waliokuwa na kazi maalumu ya kukitetea chama hiki katika mitandao ya kijamii. Vijana hawa wapo miongoni mwa lile kundi maarufu kama wapiga makofi. Wapo kwa ajili ya hata kuhalalisha mabaya ya ccm kuwa mazuri.

Miongoni mwao kwa sasa wamepotea kabisa na wengine wamebaki wanajitojeza Mara Moja Moja tena kwa kujikongoja
Miongoni mwao ni wenye ID hizi
Faizafoxy
Chabruma
Simiyu yetu
Stroke
Msemajiukweli ( siku amekuwa mkosoaji)

Nini kimewapata? Au maslahi madogo?
Kauli mbiu ya miaka 39 ya ccm inasema sasa kazi kukijenga chama na nchi,kwahiyo wadau hawa wapo kwenye kukijenga chama na nchi,mda wa kulumbana na watu walio shindwa uchaguzi umepita.
 
Ha hs ha hii ndo jamiiforums usiseme hawapo wapo sana ila wana id nyingi tu za kukosoa na kuunga mkono hoja

Wapo wengine kila jukwaa na id yake mkuu
 
Habari wanajf

Kuna kitu kinanipa wasiwasi na kufanya nijiulizwe maswali kadhaa juu ya baadhi ya wanaccm waliokuwa na kazi maalumu ya kukitetea chama hiki katika mitandao ya kijamii. Vijana hawa wapo miongoni mwa lile kundi maarufu kama wapiga makofi. Wapo kwa ajili ya hata kuhalalisha mabaya ya ccm kuwa mazuri.

Miongoni mwao kwa sasa wamepotea kabisa na wengine wamebaki wanajitojeza Mara Moja Moja tena kwa kujikongoja
Miongoni mwao ni wenye ID hizi
Faizafoxy
Chabruma
Simiyu yetu
Stroke
Msemajiukweli ( siku amekuwa mkosoaji)

Nini kimewapata? Au maslahi madogo?
Hakuna tena buku7
 
Back
Top Bottom