Kuna nini vijana hawa kupunguza kuitetea CCM yetu mitandaoni?

Kampeni zimeisha na uchaguzi umeisha na sisiemu walishinda uchaguzi wa rais na pia wingi wa wabunge ktk bunge, KWA MWENYE AKILI ATAKWAMBIA KUWA KAZI YAO KWA AJILI YA UCHAGUZI ULIOPITA ILIKAMILIKA, wanasubiri 2020, ni wafa maji ndo wako bize mitandaoni.
 
B5TWck5CUAAJdw1.jpg

Lizaboni ndio anajinyoosha baada ya uchochezi kwenye mitandao.

swissme
 
Kuna kale kadada naona ndo kamekomaa hawa kanajiita miss ushuzi gani sitaki hata kujua.!!
 
UVCCM hawana pa kushika kule kwao lumumba kunafukuta moto.

swissme
 
Wasio na kazi ndio wanaoshinda mitandaoni wakianzisha na kuchangia vithread uchwara vyenye maneno ya kwenye khanga.
Ukiona uliowataja hawaonekani, basi ujue wana majukumu. Wakiwa free watashiriki kuchangia threads.
 
Kampeni zimeisha na uchaguzi umeisha na sisiemu walishinda uchaguzi wa rais na pia wingi wa wabunge ktk bunge, KWA MWENYE AKILI ATAKWAMBIA KUWA KAZI YAO KWA AJILI YA UCHAGUZI ULIOPITA ILIKAMILIKA, wanasubiri 2020, ni wafa maji ndo wako bize mitandaoni.

kama kweli ulichokisema ndio sababuVipi wewe mbona bado umo? poor you lumumba
 
Wasio na kazi ndio wanaoshinda mitandaoni wakianzisha na kuchangia vithread uchwara vyenye maneno ya kwenye khanga.
Ukiona uliowataja hawaonekani, basi ujue wana majukumu. Wakiwa free watashiriki kuchangia threads.

ingekuwa hiyo ndio sababu hata wewe usingeingia hapa sasa hivi ungekuwa unachapa Nazi. poor you lumumba
 
kama kweli ulichokisema ndio sababuVipi wewe mbona bado umo? poor you lumumba
Hizi akili sijui watu kama wewe mnakuwa mmerithi wapi!!!
Aliyewambia nani mi ni lumumba au la, sio anti chadema yeyote ni lumumba.
Kuna tofauti ya mimi na hao uliowataja, kwanza kabisa siwekagi uzi za kisiasa, nina comment tu kama umenisoma.
 
sema unaisoma namba na unaona aibu kiongozi wenu kula rambirambi.

swissme
 
Wanaisoma namba kwa sauti ya kumtoa nyoka pangoni, hawaamini kama hili lingewakumba.
 
Back
Top Bottom