Kuna nini tia?

Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
1,955
2,071
Kuna kitu gani kinaendelea tanzania institute of accountancy,kwani kuna nafasi ya principal wa chuo ilitangazwa tangu mwaka wa jana, nashangaa imerudiwa tena, inamaana tanzania hakuna watu wenye sifa zinazohitajika kushika hiyo post,kwani tunasikia kuna mmoja wa malecturer anasoma phd kwa nguvu zote ili achukue yeye hiyo nafasi,

ndio maana wanairusha mbele ufisaaadi
 
inawezekana wapo wenye vigezo, either hawakuomba au waliomba but hawakuafikiana.
sio vizuri kufikiria ulasimu tu hayo yote yanawezekana.
 
Back
Top Bottom