Kuna nini NMB Mwanza?

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Bajameni ..
tangu jana matawi yote ya benki ya NMB kazi hazifanyiki wanadai hakuna mtandao. Hivi kweli siku mbili zote wameshindwa kutatua tatizo ili wateja waweze kuhudumiwa!
 
Nenda leo kuko shwari kabisa
Jana kweli nimeenda benki ya posta mtandao ulikuwa unasumbua sana
 
Back
Top Bottom