Kuna nini, Kosa gani linafanyika Tanzania?

Tatizo rushua imeachwa itamalaki nchini. Bashite achunguzwe amepataje utajiri mkubwa kwa muda mfupi.
Hiyo miradi unayosema ianzishwe pesa zikitolewa zitaliwa na akina bashite.
 
Mashamba pori yapimwe, wananchi wanaotaka wapewe..

Miundo mbinu ya umwagiliaji iwekwe

Watu wakivuna walipe Kodi...Serikali iongeze mapato
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom