Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

Ben ni mwerevu na ana misimamo ni vigumu mno kumburuza.

Mkuu asingekubali kwenda kuaibika juzi na mipasho!!! Mambo ya ukweli mtu anayachukulia kimzaha!!! Mkapa hawezi kukubali hili hata kidogo.
 
Ni kweli hata mwendawazimu hawezi kuwalinganisha huyo na huyu
- Aliyejenga mabarabara mara mbili ya idadi ya kilomita alizozikuta
- Aliyejenga madaraja makubwa sana 3 kati ya 5 aliyoyaahidi Nyerere
- Aliyeleta vyuo vikuu zaidi ya 44 ? mara 4 zaidi ya waliowakuta
- Aliyezesha wanafunzi 160,000 wa vyuo vikuu mara 4 zaidi ya aliowakuta
- Aliyejenga chuo kikubwa kuliko vyote EAC.
- Aliyejenga chuo kikubwa cha sayari kwenye ukanda huu cha Nelson Mandera
- Aliyepeleka sekondari hadi kwenye kata
- Aliyezalisha umeme wa mega wait 1500 mara mbili zaidi ya alioukuta
- Aliyeanzisha umradi wa kupeleka umeme vijijini?
- Aliyewaunganishia umeme toka 12% alipochukua madaraka mpaka 21%
- Anayejenga bomba la gesi kubwa toka Mtwara hadi DAR
- Anayejenga barabara ya mabasi yaendayo haraka.
- Anayekubalika na viongozi wote wakubwa wa Dunia hii
- Aliyeanzisha hospital ya tiba ya moyo nchini
- Aliyeanzisha hospital ya kisasa ya kinywa
- Aliyesogeza huduma za afya karibu na wananchi
- Aliyejenga miundombinu ya afya
- Aliyeboresha huduma ya maji nchini
- Aliyeongeza ajira nchini


Wa wa wa waa wa!!!! duchi sema, sema siogope sema!!! Hatuogopi vibaraka sema!!!! Mkapa amefanya mengi, aliyeleta lake likafanyika tu kwa ufanisi aseme!!! Hata mapato sasa yanapelekwa kusikozalisha!!!
 
Naona hapa JF kumeingiliwa na Trojan. Labda mwaka huu mpya hatuja update Kaspersky anti-virus ya 2014??? au sijui ndio wanachati humu kwa bure bure tu.

Wanatutoa KAPA (sio Ben)

Cerveau Réduire point l'ignorance, car quiconque parler plus d'une langue est d'être un immigrant?
 
Are you a Congolese, Rwandan or never lived in France? You scare the hell out of me, you man.But results contrary to what I meant, you misled peopl.o
mwanangu mie mmbongo piwaa na miaka 23 toka mwenge ukimbizwe nilicheza gwaride ktk uwanja wa sheikh Amri Abeid-mgeni rasmi akiwa mwl nyerere na rsm akiwa getuuuu bint wa miaka 8,ambaye Mwalimu alijitolea kumsomesha.

Ha ha ha! Impossible d'augmenter éventuellement sa sécurité nationale ici.
 
Ben ndio rais atakaekumbukwa daima. Katika chama cha magamba yule aliweza kuitangaz na kuiweka nchi katika heshma. Hawez kwenda kukaa na wajinga maana kawawekea mazingira mazuri ya uchumi matokeo yake ni kuchezea pesa kutalii
 
Aliyepandisha
sukari kutoka 400 hadi 2000
unga 200 hadi 1500
mchele 400 hadi 2000
mafuta ya kula lita 600 hadi 3000
nauli daladala 150 hadi 400
kodi chumba 10,000 hadi 60,000
umeme kwa mwez 2,000 hadi 20,000.
sabuni mche 500 hadi 2500
mkaa gunia 3,000 hadi 35,000
Maji Dar dumu 20 hadi 500
Nyama kilo 800 hadi 7,000

Ngoja niishie hapo tuache vitu vikubwa saaana hivi vidogo ndo vinagusa sana maisha ya watu wa aina zote; wasomi, wasiosoma, maskini na tajiri
 
Ben ndio rais atakaekumbukwa daima. Katika chama cha magamba yule aliweza kuitangaz na kuiweka nchi katika heshma. Hawez kwenda kukaa na wajinga maana kawawekea mazingira mazuri ya uchumi matokeo yake ni kuchezea pesa kutalii

kipindi cha mkapa ndio ufisadi ulishika kasi,,, viwanda vyote vilibinafsishwa kwa ofa ya 10%.mkapa ameifisadi sana nchi
 
Linganisha wakat wa Ben mkate, sukari, unga, na hata nyama bei yake ilikua shilingi ngapi kwa awamu zake zote. Kama kuuza kj wachina hajawauzia nchi au mpaka uhamishwe? Kigamboni wameshaanza kuhamishwa kwa taarifa yako kama ulikua hujui chukua hiyo. Angalia mbali usiangalie buku7 za leo bila kujua kesho utakula nini.
 
yeye alishatoa maoni yake....name muda wakutoa maoni ulishapita. hakuonahaja ya kwenda kusikiliza maoni ya mwingine
 
Linganisha wakat wa Ben mkate, sukari, unga, na hata nyama bei yake ilikua shilingi ngapi kwa awamu zake zote. Kama kuuza kj wachina hajawauzia nchi au mpaka uhamishwe? Kigamboni wameshaanza kuhamishwa kwa taarifa yako kama ulikua hujui chukua hiyo. Angalia mbali usiangalie buku7 za leo bila kujua kesho utakula nini.

halafu pia linganisha bei ya sukari kipindi cha nyerere na mkapa kama ni sawa.
mkapa aliuza viwanda vyote kwa wawekezaji kwa bei sawa na bure. kigamboni wanajenga mji wa kisasa acha uongo wewe... kama imeuzwa weka mkataba hapa tuuone au tuambie imeuzwa sh.ngapi
 
Unapenda sana picha sasa mambo ya picha anaweza kj kwakua mnakutana nae muulize mambo ya picha. Wakat wa nyerere tambua kwamba hata maduka yalikua yanatambuliwa na serekali ndo maana sukari ilipatikana kwa foleni. Wewe mbona kama unafikir kwakutumia sehem ya nyuma?
 
Aliyepandisha
sukari kutoka 400 hadi 2000
unga 200 hadi 1500
mchele 400 hadi 2000
mafuta ya kula lita 600 hadi 3000
nauli daladala 150 hadi 400
kodi chumba 10,000 hadi 60,000
umeme kwa mwez 2,000 hadi 20,000.
sabuni mche 500 hadi 2500
mkaa gunia 3,000 hadi 35,000
Maji Dar dumu 20 hadi 500
Nyama kilo 800 hadi 7,000

Ngoja niishie hapo tuache vitu vikubwa saaana hivi vidogo ndo vinagusa sana maisha ya watu wa aina zote; wasomi, wasiosoma, maskini na tajiri
Tangu 1961 bei hazikutakiwa kupanda? hata Uk na USA bei huwa zinaongezeka. Ningekuona makini kama ungekuja na data hapa, hizo bei ulizotaja ukalinganisha na nchi jirani za EAC lakini hali ni tofauti bei za mafuta, sukari, mchele, ngano, sabuni na hata mkaa mikoa yote ya mpakani kama pale hivyo vitu wakenya wanakuja kununua Tanzania shauri wa unafuu wa bei.

 
Kwani ukitumia lugha zinazotumiwa na wengi utaumwa au ni kashoo fulani hivi

Si vous ne pouvez pas comprendre la langue française alors que ce n'est pas de ma faute, Trouver le bon objectif de jeter le blâme on.All je pourrais vous dire .... l'esprit de votre propre entreprise et je vais prendre le mien de soins.
 
wandugu jf inasomwa na wengi jamani lugha itumike kiswahili na japo kingereza kwa mbali,sas mukianza kuandika kichina,kifaransa na kijaluo sisi wapare hatuelewi
 
Si vous ne pouvez pas comprendre la langue française alors que ce n'est pas de ma faute, Trouver le bon objectif de jeter le blâme on.All je pourrais vous dire .... l'esprit de votre propre entreprise et je vais prendre le mien de soins.

Bravo bravo bravo, nice performance man, kama ni matusi yakurudie mwenyewe
 
Back
Top Bottom