Kuna nini kati ya Mheshimiwa Rais Magufuli na Ludovick Mwananzila?

Tanzania bado kuna ombwe kubwa tu la uongozi hatujabahatika kuwapata VIONGOZI ila tunao WATAWALA tena tyrant s.
Nashangaa majuha wanaoimba na kupiga vigelegele kuisifu hii awamu ya 5.
Mwananzila amekuwa mbunge wa Kalambo kwa 10 mpaka 2010,sawa sikatai ana mapungufu yake kama binadamu wengine lakini katika kipindi cha ubunge wake kafanya vitu vinaonekana as compared na mbunge wa sasa wa Kalambo ambaye kwanza huwa haishi ndani ya jimbo huwa anaonekana kipindi cha kampeni tu.
Nitashangaa sana hili takataka linalopewa credit na jiwe likichaguliwa tena kuwa mbunge.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Kwa hiyo ni bora Mwananzila arudi tu? Hivi akishinda kura ya maoni unadhani Mwenyekiti atamkubali?
 
Mkuu nmewahi kuishi hilo jimbo aliyoyafanya Mwananzila n makubwa mno hasa kuboresha sekta ya afya ila ndo hivyo tena mwenyekiti hamtaki Mwananzila.

Inasemekana lakini eti kipindi cha kampeni 2015 Mwananzila alikuwa team Membe pia kipind Mwananzila akiwa mbunge Kalambo amewah kutoa kauli ya kuwafukuza wafugaji jamii ya wasukuma,refer back baada ya kukosa ubunge Kikwete alimteua kuwa RC Shinyanga alivoenda kule hakupewa ushirikiano ikibid ahamishiwe Lindi huko.
Kiukweli mkulu anapenda sana kuendekeza visasi.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Tanzania bado kuna ombwe kubwa tu la uongozi hatujabahatika kuwapata VIONGOZI ila tunao WATAWALA tena tyrant s.
Nashangaa majuha wanaoimba na kupiga vigelegele kuisifu hii awamu ya 5.
Mwananzila amekuwa mbunge wa Kalambo kwa 10 mpaka 2010,sawa sikatai ana mapungufu yake kama binadamu wengine lakini katika kipindi cha ubunge wake kafanya vitu vinaonekana as compared na mbunge wa sasa wa Kalambo ambaye kwanza huwa haishi ndani ya jimbo huwa anaonekana kipindi cha kampeni tu.
Nitashangaa sana hili takataka linalopewa credit na jiwe likichaguliwa tena kuwa mbunge.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
Hivi Mwananzila yupo wapi sasa
 
Back
Top Bottom