Kuna nini kati ya Mheshimiwa Rais Magufuli na Ludovick Mwananzila?

Jambo hili liko sahihi kwa kila pande ukiamua kulitafakari kwa angle hiyo.

ALICHOSEMA DR. MHE. JOHN POMBE MAGUFULI NI SAHIHI
Yeye kama Mwenyekiti anayo mamlaka ya kukiongoza chama katika misingi anayoamini yeye itaifikisha nchi na chama katika nchi ya asali, kama ulikua Mkurugenzi, Mkuu wa Mkoa au wilaya DAS au RAS kama utendaji wako wa kazi upo madhubuti na unafanya vizuri, huna sababu ya kuweweseka na vyeo vingine kwakua huishia kuleta migogoro na migongano ya ndani na kutishia utendaji kazi.

Aidha, hutengeneza makundi na kukigawa chama katika team ambazo hazina tija hasa ukizingatia mnajenga jengo moja.

ALICHOKISEMA MHE DR JOHN POMBE MAGUFULI SIO SAHIHI.

Kikatiba ni haki ya kila mtanzania kuchagua au kuchaguliwa katika nafasi yeyote iwapo ametimiza vingezo hitajika katika nafasi hiyo.

Aidha, si vibaya kujipima uwezo wako katika siasa kwa kuwa face wananchi kwa kuwaambia muarobaini wa matatizo yao unao wakaamua kukupa au kukunyima kura.

Wachache wao huziona zile nafasi kama silver plate flani hivyo kuhisi si stahiki au ukipishana na mkubwa au matakwa ya aliyekuweka unaondoka ilhali ubunge process yake huwa ngumu kidogo kwakua lazima wakufukuze uanachama.

NB
Yote kwa yote Mwenyekiti wa Chama ndiye mwenye kura ya veto katika maamuzi na mikakati ya chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu kubwa ya Wakurugenzi na Makatibu Wakuu kugombea ubunge ni kuwa kama wanapata ridhaa ya wapiga kura basi wana chance kubwa ya kupata Uwaziri!
 
Sababu kubwa ya Wakurugenzi na Makatibu Wakuu kugombea ubunge ni kuwa kama wanapata ridhaa ya wapiga kura basi wana chance kubwa ya kupata Uwaziri!
Usisahau kwamba kama Rais anakuhitaji kwenye kabinet yake anazo nafasi 10 za kuteua WABUNGE hivyo unatakiwa kufanya kazi nzuri na mengine yatajiseti yenyewe kaka.

DO LIKE NO ONE CAN DO IT ANY BETTER - MARTIN LUTHER KING JR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau kwamba kama Rais anakuhitaji kwenye kabinet yake anazo nafasi 10 za kuteua WABUNGE hivyo unatakiwa kufanya kazi nzuri na mengine yatajiseti yenyewe kaka.

DO LIKE NO ONE CAN DO IT ANY BETTER - MARTIN LUTHER KING JR

Sent using Jamii Forums mobile app
Chance ya wewe kuwemo ndani ya nafasi 10 ni very slim. Ndio maana wanaamua kugombania ubunge ambako wana chance kubwa ya kupita huko!
 
Ni tamaa ndio, licha ya kwamba hivyo ni vyeo na teuzi, pia tusisahau ni kazi. MTU tayari ni Mkuu wa mkoa, lakini bado unaenda kutafuta ubunge, ili iweje kama sio tamaa? Ni matamaaa yasiyokuwa na maana.
 
Mbona Stephen Wasira hakumpoteza na yupo tangu awamu ya kwanza?! Au hizi tunazoambiwa ni special cases tu?
 
Mbona Stephen Wasira hakumpoteza na yupo tangu awamu ya kwanza?! Au hizi tunazoambiwa ni special cases tu?
Nilishangaa sana kusikia Magufuli akisoma darasa la kwanza, Wasira tayari ni Naibu waziri wa kilimo enzi hizo. Alafu bado anataka kutumikia serikali ya Dogo.
 
Ni tamaa ndio, licha ya kwamba hivyo ni vyeo na teuzi, pia tusisahau ni kazi. MTU tayari ni Mkuu wa mkoa, lakini bado unaenda kutafuta ubunge, ili iweje kama sio tamaa? Ni matamaaa yasiyokuwa na maana.
Sasa ngoja tusubiri kura za maoni September kama Mad DC, mara RC, Makatibu na manaibu wakuu na mabalozi bila kusahau wakurugenzi kama watatangaza nia majimboni.
 
Nilishangaa sana kusikia Magufuli akisoma darasa la kwanza, Wasira tayari ni Naibu waziri wa kilimo enzi hizo. Alafu bado anataka kutumikia serikali ya Dogo.
Ni mwenyekiti wa bodi mwalimu Nyerere University sijui Institute.
 
Amuache huyo babu, hivyo ndio vichawi vya sumbawanga vilivyoshindikana.
Ukimuondoa yule mzeee......kwa huko sumbawanga anayefatia ni huyo Ludovick,
Mumshauri vizuri jiwe anajiongezea idadi ya maadui.
Unaropoka tu wewe kwanza Mwananzila hawaivi na hivyo vizee ulivyovitaja.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Back
Top Bottom