Kuna nini cha kufurahisha kutoka kwa majahili wa Taliban wanaotrend?

Osama, Saddam na Gaddafi walikuwa magaidi na wafadhili wa ugaidi ukiachalia mbali kuwa madikteta katili waliouwa hata raia wao wenyewe. Bush kuivamia Iraq na kukosa WMDs ni mjadala mwingine ila kuwaondoa Saddam na Chemical Ali waliohusika na mauaji ya kimbari kwa Wakurdi 182,000 ilikuwa ni Sahihi.

Gaddafi alikuwa Mfadhili wa Ugaidi wa wazi kabisa, Alihusika na akakubali kulipa fidia kwenye ugaidi wa ulipuzi wa Lockerbie. Alikataliwa na wananchi wake katika Arab Spring na akatishia kuwafuta kama Mende, wenye nguvu wa dunia hawakuruhusu hilo.

Osama na Al-Qaeda yake chini ya utawala Taliban Afghanistan walihusika na walijivunia kuhusika na September 11, Hawakujua wanachomoa betri karibu petroli, kilichowapata na maumivu waliyosababisha kwa Raia wa Afghanistan waliowatumia kama ngao ni juu yao, na upotevu wa maisha ya Raia wa nchi hiyo yako juu ya vichwa vyao.
Unajua Marekani na Uingereza waliua raia wangapi Iran wakati wanaitoa serikali halali na ya 'kidemokrasia' ya Mohamed Mosaddegh nchini Iran? Vipi kuhusu Salvador Allende wa Chile, je naye aliuwa raia wake wangapi?
 
Nchi imechukuliwa na watu wanao amini katika radical islam,na sharia,mimi nilitegemea wale ndugu zetu waislam wangefurahi kwamba sasa nchi yao itatawaliwa kwa misingi ya "dini yao pendwa"lakini imekuwa kinyume,wananchi wengi wanaikimbia nchi yao,na wanaoikimbia sio wakristo ni waislam kabisa lakini hawataki kuwa chini ya utawala wenye misingi ya Kiislam na sharia!!jambo la kushangaza sana.kwanini Muislam anakimbia nchi inayoendeshwa kwa misingi ya dini yake,political Islam?!lazima Kuna walakini kwenye hii dini,na political Islam na sharia ni mfumo wa hovyo,kishetani,na haufai karne 21.
Waislam wanaona Bora wakaishi na Wala kitimoto wakorinto wa US,Canada,France,german kuliko kubaki na Hawa islamists wanaoiaminisha Dunia kuwa political Islam ni mfumo Bora.
Hii dini ni janga kwa Dunia.
 
Uislam ni general term. Ni aina ipi ya Uislam. Je ushia au usunni. Je huo ushia ni upi? Bohora au twelvers? Je huo usunni ni upi? Usuni wa malki, hanafi au shafi. Ni kama unapoona Mlokole ametawala halafu mkatoliki akakimbia.
 
Nchi imechukuliwa na watu wanao amini katika radical islam,na sharia,mimi nilitegemea wale ndugu zetu waislam wangefurahi kwamba sasa nchi yao itatawaliwa kwa misingi ya "dini yao pendwa"lakini imekuwa kinyume,wananchi wengi wanaikimbia nchi yao,na wanaoikimbia sio wakristo ni waislam kabisa lakini hawataki kuwa chini ya utawala wenye misingi ya Kiislam na sharia!!jambo la kushangaza sana.kwanini Muislam anakimbia nchi inayoendeshwa kwa misingi ya dini yake,political Islam?!lazima Kuna walakini kwenye hii dini,na political Islam na sharia ni mfumo wa hovyo,kishetani,na haufai karne 21.
Waislam wanaona Bora wakaishi na Wala kitimoto wakorinto wa US,Canada,France,german kuliko kubaki na Hawa islamists wanaoiaminisha Dunia kuwa political Islam ni mfumo Bora.
Hii dini ni janga kwa Dunia.
Dini zote ni janga la dunia.
 
FB_IMG_16293889142960633.jpg
 
Unafahamu kuna vikundi vya kigaidi ambavyo vimeasisiwa/kusaidiwa/kufadhiliwa na Marekani? Mfano hawa Taliban unajua kuwa Marekani iliwaasisi?View attachment 1901376
Marekani ilikuwa inavisaidia vikosi vya Mujahedeen kupambana kuuondoa uvamizi Wa Wasovieti waliovamia Afghanistan 1979.
Baadhi ya hao mujahedeen ndio baadaye walienda kuunda Taliban baada kuibuka washindi ya vita vye wenyewe kwa wenyewe. Soma historia vizuri, imejaa tele mtandaoni, achana na story za vijiweni.
 
Walikuwa wanapigania kitu gani?
Wanapigania kitu gani na nani? Wenyewe ndiyo walioamua kama wanawataka hao Taliban watawaweka, kama hawawataki watatafuta mbinu za kuwaondoa.

Pilipili usiyoila inakuwashia nini?
 
Kwa ufupi yote hayo ni matokeo ya ugomvi wa mafuta na gesi. Marekani wala Mrusi hawana shida na wanavijiji dhaifu na wenye njaa, bali shida yao ni kuhodhi mafuta na gesi.
 
Yawezekana mkuu hujui historia. Marekani hakuisaidia Mujahideen, ila ni yeye ndiye aliyeianzisha.

Kule Yemen, mwaka 2015 Saudi Arabia iliipiga mabomu Yemen na kuua mamia ya wanawake na watoto. Mabomu na misaada yote ilitoka US. Unajua what happened? UN iliiblacklist Saudi mwaka 2016, kwa influence ya Marekani, Ikaondolewa kwenye list, na same time Obama akawapa msaada mwingine wa kijeshi. Moja ya wafadhili wa vikundi vya kigaidi ni Saudi Arabia, ambaye fedha zote hizo za ufadhili na vifaa vya kijeshi anapewa na US, sasa sijui kwako wewe, ni taifa la kigaidi au la!.

Ugaidi ni issue complex sana, na ukitazama objectively, Marekani ndiye chanzo kikubwa cha hii Islamic terrorism baada ya kuanguka kwa Ukomunist. Kabla ya Sykes-Picot Agreement, maeneo haya ya kiarabu kwa kiasi kikubwa yaliishi kwa kuvumiliana, of course mikwaruzano ilikuwepo, lakini haikuwa mikubwa sababu kila watu na maeneo yao walikuwa na tawala zao kwa kufuata imani na madhehebu yao. Baada ya kuanguka Ukomunist, Marekani alihitaji adui mwingine, ili aendelee kuingilia mataifa mengine. Infact American capitalism haiwezi kusurvive bila ya kuwa na maadui, ndio maana hata kama hawapo basi itawatengeneza, sababu uchumi wake umejengwa kwa misingi ya unyonyaji kwenye mataifa ya kigeni.
 
Kwa ufupi yote hayo ni matokeo ya ugomvi wa mafuta na gesi. Marekani wala Mrusi hawana shida na wanavijiji dhaifu na wenye njaa, bali shida yao ni kuhodhi mafuta na gesi.
Afganistan haina mafuta wala gesi, labda opium za kutengeneza heroine.
 
Wanapigania kitu gani na nani? Wenyewe ndiyo walioamua kama wanawataka hao Taliban watawaweka, kama hawawataki watatafuta mbinu za kuwaondoa.

Pilipili usiyoila inakuwashia nini?
Talibana hawajawekwa na Raia, taliban wamechukua mamlaka kupitia nguvu ya AK 47. Wafaghanistan wengi ni waislamu wa msimamo wa kati, hawependi kulzamishwa kufuga ndevu, kuvaa mabwanga,niqab, kuacha kusikiliza muziki, kutazama movies n.k
 
Bush aliivamia Iraq na kuua watu karibu laki mbili, kwa kisingizio cha kuwa na Silaha za Gas wakati sababu hasa alichukizwa na Sadaam kugoma kuifanya Iraq kuwa kibaraka wake.

Obama kaua huko Libya karibu raia 100,000 kisa tu Ghadafi ametaka kuanzisha fedha yake ya mafuta.

Mkuu orodha ni ndefu, kama wewe ni mtu objective, basi unaweza kubaliana nami kama kuna magaidi dunia hii, basi Marais wa US, UK na Ufaransa wanaongoza. Hebu imagine watu wanaouawa huko Sahel, kwa maslahi ya mfaransa. Kongo wangapi wanauwa kwa utashi wa kina Clinton na kagame. Magaidi ni wengi sana duniani, tena wanaitwa wastaarabu ndio magaidi wakuu. US aliingia Afghan, kuwatafuta magaidi kina Osama, Osama alikimbia lakini bado wakaendelea kuwepo na kuua raia wa Afghan. Kina Lockheed Martin na Black water ndio magaidi. Hawa black water waliua raia wa Iraq mchana kweupe bila sababu yoyote. Sijui kama huo kwako sio ugaidi.
Gaidi ni mtu yoyote ambae anatumia nguvu ya kitisho cha kudhuru wengine ili kupata kile ambacho anata yeye, iwe ni haki yake ama si haki yake.

So ikitokea mtu anatumia vitisho dhidi ya wengine kuprove point yake then huyo ni gaidi.

So mwanamke akikwambia anataka hela ama sivyo atakuacha huyo ni Gaidi.

Mwanaume akikutaka kwa nguvu halafu ukamkatalia akasema atakufanya mbaya huyo ni gaidi tu.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom