Kuna nini cha kufurahisha kutoka kwa majahili wa Taliban wanaotrend?

Hamna kitu hapo Mmarekani anacheza karata zake tu.
Watakuja pigwa hao Taliban kipigo cha mbwa mwizi hapo hapo Kabul.subiri tu
Mmarekani kafanya wakusanyike pamoja iwe rahisi kuwamaliza Taliban.
Kama unaamini Ghani alitoroka ,no kapelekwa huko na US na analindwa.
Wale wakimbizi waliopelekwa Uganda na nchi zingine wote watapewa mafunzo wakomboe nchi yao.
Juzi tulikua na mjadala hapa kuhusu Mozambique. Kuna mdau akadai Jeshi la US linatoka huko US kuja kusaidia vita ,Nop nilimwambia hakuna jeshi linatoka US kuja pigana Mozambique.
Wako hapo mbele ya Mauritios (Chagos Island) wana base yao kubwa saana.
Kuna Jeshi hapo ni kwao wakiamshwa wanaondoka kupiga mandate.
Kwanini wale Jamaa wamepelekwa Uganda.
Watapewa mafunzo na nyenzo na kila kitu watarudi huko Afghanistan na ndio utaona mtanange utakavyokua.
kama nakuelewa hivi mkuu
 
Ukiona ile video mwanamke innocent anapigwa risasi ya kichwa na wataliban baada ya kumswalia huku kafungwa kamba nyuma huwezi kuwapenda wale mashetani
 
Ningependa uweke kwa kila mmoja wao walikotumia vurugu na mauaji kulazimisha matakwa yao ya siasa au dini.
Bush aliivamia Iraq na kuua watu karibu laki mbili, kwa kisingizio cha kuwa na Silaha za Gas wakati sababu hasa alichukizwa na Sadaam kugoma kuifanya Iraq kuwa kibaraka wake.

Obama kaua huko Libya karibu raia 100,000 kisa tu Ghadafi ametaka kuanzisha fedha yake ya mafuta.

Mkuu orodha ni ndefu, kama wewe ni mtu objective, basi unaweza kubaliana nami kama kuna magaidi dunia hii, basi Marais wa US, UK na Ufaransa wanaongoza. Hebu imagine watu wanaouawa huko Sahel, kwa maslahi ya mfaransa. Kongo wangapi wanauwa kwa utashi wa kina Clinton na kagame. Magaidi ni wengi sana duniani, tena wanaitwa wastaarabu ndio magaidi wakuu. US aliingia Afghan, kuwatafuta magaidi kina Osama, Osama alikimbia lakini bado wakaendelea kuwepo na kuua raia wa Afghan. Kina Lockheed Martin na Black water ndio magaidi. Hawa black water waliua raia wa Iraq mchana kweupe bila sababu yoyote. Sijui kama huo kwako sio ugaidi.
 
Bullshit conspiracies
 
Hayo mambo uloyataja yote ni maovu, wezi hapa kwetu wanachomwa moto, michepuko mnaila tigo, hakuna jipya, hoja ya msingi tuache madhambi , wizi na uzinzi sio mzuri
Mabeberu ndio wanataka watu waishi kwa anasa ukisimamia sharia Kama itakavyo dini watakwambia ni ukosefu wa haki za binadamu kitu ambacho talibani hawatak maadili yao yapotee
 
Kipi cha Uongo hapo, kuwa Bush hakuivamia Iraq na Afghan? Obama hakuivamia Libya? Saudi Arabia haiui watu huko Yemen kwa msaada wa fedha na silaha kutoka Marekani?
Osama, Saddam na Gaddafi walikuwa magaidi na wafadhili wa ugaidi ukiachalia mbali kuwa madikteta katili waliouwa hata raia wao wenyewe. Bush kuivamia Iraq na kukosa WMDs ni mjadala mwingine ila kuwaondoa Saddam na Chemical Ali waliohusika na mauaji ya kimbari kwa Wakurdi 182,000 ilikuwa ni Sahihi.

Gaddafi alikuwa Mfadhili wa Ugaidi wa wazi kabisa, Alihusika na akakubali kulipa fidia kwenye ugaidi wa ulipuzi wa Lockerbie. Alikataliwa na wananchi wake katika Arab Spring na akatishia kuwafuta kama Mende, wenye nguvu wa dunia hawakuruhusu hilo.

Osama na Al-Qaeda yake chini ya utawala Taliban Afghanistan walihusika na walijivunia kuhusika na September 11, Hawakujua wanachomoa betri karibu petroli, kilichowapata na maumivu waliyosababisha kwa Raia wa Afghanistan waliowatumia kama ngao ni juu yao, na upotevu wa maisha ya Raia wa nchi hiyo yako juu ya vichwa vyao.
 
Unafahamu kuna vikundi vya kigaidi ambavyo vimeasisiwa/kusaidiwa/kufadhiliwa na Marekani? Mfano hawa Taliban unajua kuwa Marekani iliwaasisi?
Screenshot_20210821-134352.jpg
 
Osama, Saddam na Gaddafi walikuwa magaidi na wafadhili wa ugaidi ukiachalia mbali kuwa madikteta katili waliouwa hata raia wao wenyewe. Bush kuivamia Iraq na kukosa WMDs ni mjadala mwingine ila kuwaondoa Saddam na Chemical Ali waliohusika na mauaji ya kimbari kwa Wakurdi 182,000 ilikuwa ni Sahihi.

Gaddafi alikuwa Mfadhili wa Ugaidi wa wazi kabisa, Alihusika na akakubali kulipa fidia kwenye ugaidi wa ulipuzi wa Lockerbie. Alikataliwa na wananchi wake katika Arab Spring na akatishia kuwafuta kama Mende, wenye nguvu wa dunia hawakuruhusu hilo.

Osama na Al-Qaeda yake chini ya utawala Taliban Afghanistan walihusika na walijivunia kuhusika na September 11, Hawakujua wanachomoa betri karibu petroli, kilichowapata na maumivu waliyosababisha kwa Raia wa Afghanistan waliowatumia kama ngao ni juu yao, na upotevu wa maisha ya Raia wa nchi hiyo yako juu ya vichwa vyao.
Unajua kuwa kule Latin America, Marekani aliasisi vikundi vingi vya Kigaidi? Unajua kuwa ugaidi unaofanywa na vikundi vya kijeshi nchini Brazil, msingi wake ni Serikali ya Marekani?
 
Mwanamke anapaswa kujistiri.. huu utawala wa taleban naona unafaa sana kwa dunia ya sasa ilojaa udhalimu na matendo yasio kua na staha..
 
. Bush kuivamia Iraq na kukosa WMDs ni mjadala mwingine ila kuwaondoa Saddam na Chemical Ali waliohusika na mauaji ya kimbari kwa Wakurdi 182,000 ilikuwa ni Sahihi.

Kwahiyo unaenda kumtoa gaidi aliyeua raia 180,000 na wewe unaua raia 100,000+ tena, halafu wewe sio gaidi? Na mjadala wake ni mwingine.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom