Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,826
- 5,053
So mwanamke akikwambia anataka hela ama sivyo atakuacha huyo ni Gaidi.
Mwanaume akikutaka kwa nguvu halafu ukamkatalia akasema atakufanya mbaya huyo ni gaidi tu.
Basi tuna magaidi wengi sana kitaa.