Kuna nini cha kufurahisha kutoka kwa majahili wa Taliban wanaotrend?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,550
46,090
Tangu Taliban kutwaa mamlaka ya kuitawala nchi ya Afghanistan wiki hii memes za kusherehesha utawala huo muovu, katili na wa kijuha zimekuwa nyingi na zimetrend kila kona ya mitandao.

Hawa wabongo wanaotengeneza memes na kusambaza video za Taliban wanaelewa utawala wa Taliban unamaanisha nini kwa raia wengi wa Taliban hasa wanawake na watoto wa kike wanaotaka kuishi maisha ya kawaida kama binadamu wengine waliostaarabika duniani?

Wanafahamu itakuwa lazima wanaume wote kufuga ndevu, wenye michepuko na wanaoishi bila kuona watapigwa mawe mpaka kufa, wezi watakuwa wanakatwa mikono, wanawake hawatashiriki katika uongozi tena, ni lazima wavae hijab au niqab, lazima watoke na mwanaume wakienda kutembea, pombe haitanyweka tena hadharani lakini biashara ya dawa za kulevya za heroine zitashamiri kwa sababu Taliban ni wakulima wazuri wa mihadarati ya opium!

Ni aibu na ujuha kusherekea na kusherehesha utawala katili wa Taliban. Ni bahati mbaya sana kuwa na taifa lenye majuha wengi wanaochukuliwa na upepo wa kila aina matukio yanayotrend bila kuwa na maarifa.
 
Mkuu nafikiri wewe ndio juha kulazimisha watu wachukie vitu uvichukiavyo, walichonifurahisha sana ni kuto give up baada ya miaka 20 wamekipata walichokuwa wakikipigania. Hawa binadaamu wengine waliostaarabika ni kina nani....wale wazee wa matoileti pepa?
Walikuwa wanapigania kitu gani?
 
Tangu Taliban kutwaa mamlaka ya kuitawala nchi ya Afghanistan wiki hii memes za kusherehesha utawala huo muovu, katili na wa kijuha zimekuwa nyingi na zimetrend kila kona ya mitandao.

Hawa wabongo wanaotengeneza memes na kusambaza video za Taliban wanaelewa utawala wa Taliban unamaanisha nini kwa raia wengi wa Taliban hasa wanawake na watoto wa kike wanaotaka kuishi maisha ya kawaida kama binadamu wengine waliostaarabika duniani?

Wanafahamu itakuwa lazima wanaume wote kufuga ndevu, wenye michepuko na wanaoishi bila kuona watapigwa mawe mpaka kufa, wezi watakuwa wanakatwa mikono, wanawake hawatashiriki katika uongozi tena, ni lazima wavae hijab au niqab, lazima watoke na mwanaume wakienda kutembea, pombe haitanyweka tena hadharani lakini biashara ya dawa za kulevya za heroine zitashamiri kwa sababu Taliban ni wakulima wazuri wa mihadarati ya opium!

Ni aibu na ujuha kusherekea na kusherehesha utawala katili wa Taliban. Ni bahati mbaya sana kuwa na taifa lenye majuha wengi wanaochukuliwa na upepo wa kila aina matukio yanayotrend bila kuwa na maarifa.
IMG-20210818-WA0039.jpg
IMG-20210818-WA0022.jpg
IMG-20210818-WA0019.jpg
 
Kufar ktk ubora wake
 
Jahanamu yaslawakaa...
 
Unaweza kujinyonga tu upunguze maumivi kama roho inauma wenye nchi yao kujitawala au uongea na Biden mwambie arudishe majeshi
 
Back
Top Bottom