Kuna ndugu yangu anadai ana Kunguni masikioni msaada wenu

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,411
2,138
Habarini za humu natumai ni wazima...

Kuna ndugu yangu mmoja kaingiliwa na kunguni kwenye masikio toka mwaka jana anasema eti anasikia hao kunguni wakimuuma..

Je, kuna uwezekano wa kunguni kuishi katika masikio ya mtu kwa kipindi chote hicho pia ameshazunguka hosptali na hospital wanasema hamna chochote..

Kama kuna tiba au mtu kashapitia au kusikia Naombeni msaada
 
Duuh kunguni anaishi vip kwenye masikio ya mtu...?? Au ndo uchawi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom