Kuna namna ya ku-override hili tatizo kwenye Nokia 'Contacts'?

Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,234
531
Natumia Nokia N8-00 (Nokia Belle Refresh, release ver. 111.040.1511), ambapo natatizwa na namna 'Contacts' inavofanya kazi. Yaani unapokuwa umehifadhi namba ya simu mf. 0771 123456, na mtu mwenye namba hiyo akakupigia, haioneshi kwamba tayari unayo namba hiyo. Badala yake inai-treat kama namba mpya. Kwa kuwa pameongezeka +xxx (country code) and vice versa.

Je, kuna namna naweza fanya ili hii simu itambue kuwa ni namba ileile? (kama inavyokuwa kwa Andoid).

Thanking in advance
 
save Kwa kuanzia na country code like +2557××××××××

Huku nilipo kuna carriers ambao kwa simu za ndani zinaingia bila kuwa na country na wakati mwingine zinakuja na country code, sina option nyingine?
 
Back
Top Bottom