Kuna mwandishi aliejaribu kuwatafuta TRA na kuhoji ukimya wao juu ya makusanyo ya mwezi November?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,998
144,329
Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa na kama kweli hakuna mwandishi hata mmoja alie bother kufanya hivyo basi waandishi wetu mtakuwa na tatizo kubwa na la kushangaza sana unless makusanyo hayo yalitangazwa labda mimi ndio sijasika/sijui.
 
Tz hakuna waandishi wa kuhoji jambo mkuu wote wanasubiria jambo litokee ndo watangaze tenA kwa ordee
 
Back
Top Bottom