Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,401
- 5,526
Ndugu wanafunzi kama mnavyokumbuka HESLB walitangaza majina ya wanufaika wapya wa mikopo(1 year) tarehe 24/12/2020 kupitia dirisha la rufaa.
So nauliza kama kuna mwanafunzi yeyote wa chuo chochote ambaye ameenda kwa Afisa Mikopo wa chuo chake na akafanikiwa kupata pesa zake ikiwemo Boom.
Maana hapa SUA mpaka leo wanasema bado bodi hawajatuma majina Hali ya kuwa HESLB wametutaarifu tuende kwa Afisa mikopo wetu tukachukue haki zetu.
Karibuni