Kuna mtu yoyote amefungua Go fund kumsaidia Melo

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
tu msaidie vipi cause hii issue imeniuma kinoma.Ok wadau wa nje ya nchi please mtu afungue go fund ili tumsaidie na family Yake aisee.Very sad in deed.Next week is christmas familia Yake umuone .Please keep up date
 
Max ataachiwa soon mimi Hilo na uhakika nalo Lakini hapa ishu kubwa Sana ni namna Gani uhuru WA kusema umeingiliwa tupaze sauti tuzid kuwakosoa.. Max Melo namuonea huruma anavyoteseka Ila ni ya Muda mfupi hawawezi kumfunga sheria ya habari ya kilofa asee
 
tu msaidie vipi cause hii issue imeniuma kinoma.Ok wadau wa nje ya nchi please mtu afungue go fund ili tumsaidie na family Yake aisee.Very sad in deed.Next week is christmas familia Yake umuone .Please keep up date

Natalia kama uko USA Au Canada unaweza kutumia APP ya Sendwave.com Hii APP inamtumia mtu moja Kwa moja kwenye simu yake LAKINI NI VODA MPESA TU.
Sendwave.com
 
tu msaidie vipi cause hii issue imeniuma kinoma.Ok wadau wa nje ya nchi please mtu afungue go fund ili tumsaidie na family Yake aisee.Very sad in deed.Next week is christmas familia Yake umuone .Please keep up date
Tujiunge bsi hapa ndani ya nchi na nje tumchangie chochote Max kwa ajili ya familia yake maana yupo ndani siku nyingi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom