Kuna mtu yoyote aliye wahi kula vyakula vya kichina? Hebu angalia picha hapo chini

mimi nilikula konokono wa kuchemsha na wadudu wengine kama aina tatu hivi wakiwemo wale waliovimba matumbo mpaka yanakuwa ya rangi ya maziwa, samaki wabichi kabisa waliotolewa kwenye friji, nyama mbichi kabisa ya punda!

kwa kweli nilijiuliza kama wengine wanakula na hawadhuriki iweje mie nidhurike? na pia ukiangalia wanatayarisha katika mazingira safi sana
 
Nimekula wale wadudu wa taa wa kukaanga...crunchy and tasty :]

Nimekula konokono wa kukaanga with garlic sauce ....kinda okay
Hata mimi konokono nimekula, sikuona cha ajabu. Lakini nilipoambiwa kwamba nimekula konokono siku nzima mate yalijaa mdomoni. Lakini kama wasingenambia basi ingekuwa imetoka maana niliona ni nyama ya kawaida tu.
 
mimi nilikula konokono wa kuchemsha na wadudu wengine kama aina tatu hivi wakiwemo wale waliovimba matumbo mpaka yanakuwa ya rangi ya maziwa, samaki wabichi kabisa waliotolewa kwenye friji, nyama mbichi kabisa ya punda!

kwa kweli nilijiuliza kama wengine wanakula na hawadhuriki iweje mie nidhurike? na pia ukiangalia wanatayarisha katika mazingira safi sana
Duh, ila samaki mbichi mimi alinishinda kabisa. Maana nilikuwa namwangalia live kwamba hajachemshwa wala kufanywa chochote. Ile kuweka mdomoni tu hali ya hewa ya mdomo ikabadilika. Lakini kwa mfano Nyoka akitengenezwa vizuri ana nyama exactly kama ya samaki na ni mtamu sana tu. Au nyama kwa mfano ya kaa (ngadu), nimekuwa nikiwavua na kuwatupa, lakini nilipokuja kuwaonja, nilijutia ule utaratibu wangu wa kuwatupa. Ni watamu sana wale wadudu wakitengenezwa vilivyo. Hakuna kisicholika, sema tu kwetu tuna kila kitu ndo maana tunaona kinyaa.
 
Ukikuta wenzio wanakula na huna mbadala wa chakula... and they are heathly kula tu
Baadhi ya hivyo Nilikula 2006 Thailand na 2008 Cambodia
 
kwani ana ubaya gani?...kama nge amewezekana.....itakuwa mende......
Hapo juu wamesema giant waterbug na sio cockroach (hawa wadudu ni wachafu na wanabeba magonjwa mengi sana)

Cholera, Typhoid, Salmonella, Dysentry na Hepatitis to name just a few.....
hata inzi wangekuwa ni chakula kizuri tu kama wasingekuwa carrier wa magojwa...
 
Hao Wanyama pori wangelikuwa Bara la Asia basi ninavyofikiri mimi wangelikwisha mara moja kusengelikuwa tena na mnyama anayeitwa Simba, Tembo,Swala,kifaru,Pundamilia,nyati,Chita,Chui,Paa kongoni na wanyama wengine wengi tu ingelikuwa kama hadithi tu za akina abunuwasi.........

Huko Asia wanyama walikuwepo kama huku. Ila waliliwa wote mpaka wameingilia wadudu kama mende wa kwenye ....! Aaagh pthu!
 
Hiyo sio ajabu,pemba tunakula sana kenge,wanaongeza maisha na nguvu za kijinsia

Duh wewe utapelekea KENGE kuangamia maana kila mganga anadai anadawa kama hiyo na wana-survive mjini. Nasikia wateja ni wengi na bei ya dawa hizo ni kubwa sana.

Mimi nasikitika kuna picha zinatumwa kwenye email kuwa hawa watu wanakula pia binadamu hasa WAAFRIKA. hata leo nimetumiwa na jamaa yangu na nimeifuta haraka. Picha zaonyesha kuwa ni kweli lakini siamini hata hivyo ni vizuri kuchukua tahadhari na kutotembelea isolated area in China, Hong Kong, Taiwan, Malysia n.k
 
of human meat delicacies







fridge full of human flesh


suspected human meat server with her 'new stock' of human flesh


In Tanzania, some of the witch doctors have been lying the people that if you happen to get some parts of alibinos' body, such as legs, bones, etc - you will automatically become rich. We have heard stories of innocent alibinos who have been brutally murdered or injured.


But now read below and look at the photos above! Terrifying!

Indeed THESE ARE THE LAST DAYS!
When you see all these - FAST AND PRAY

MDAU

A lady from Philippines has killed many people and kept their meat on her Refrigerator She was enjoying eating human meat.​


She said that she had made so many parties for her relatives & guests and gave them this human meat to eat without their knowledge.

Her guests said that they found very good taste of this lady's cooking without knowing which type of meat she has cooked for them .


Some of them didn't know that they would be her next victim. She has killed her husband too. Later on, she was caught by the Police .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom