Kuna mtu yoyote aliye wahi kula vyakula vya kichina? Hebu angalia picha hapo chini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mtu yoyote aliye wahi kula vyakula vya kichina? Hebu angalia picha hapo chini

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 13, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Vyakula vya kichinana Kithailand

  [​IMG]
  Chura  [​IMG]
  Panzi
  [​IMG]
  Curry ya Mende!!!

  [​IMG]
  Mchwa waliyo kaushwa (Sungusungu)!!!


  [​IMG]
  Inge waliyo kangwa (Roasted)!!!


  [​IMG]
  Aina saba za wadudu waliyo kangwa!!!


  [​IMG]
  Achali ya mayai ya sungusungu!! !!  [​IMG]
  Nyama ya nyoka!!!  [​IMG]
  Steak ya nyoka


  [​IMG]
  Mjusi mix na mboga!!  [​IMG]

  Huko Ma isia hakutupwi kitu kila kitu ni chakula hata nyama ya mbwa paka ni chakula duhuuuu.....
   
 2. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Duuuhh!! Sijawahi kabisa, lakini nadhani kilichosababisha ni njaa kutokana na population yao kuwa kubwa mno. Kwa mawazo yangu siwezi kula kabisa, chura? Mjusi? Nyoka? Hapana sili.
   
 3. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Jibu la swali lako ni NDIYO. Wachina wenyewe wameshakula vyakula hivyo. Ila mm ningependa kutaste hiyo curry ya Mende,it looks so apetising and delicious
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kuna kiumbe kinachotembea kwa uhuru China
  bila kuhofia kukamatwa na kufanywa mlo??
  (ukiacha watu)
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Hakuna Wachina Wapo zaidi ya Watu billioni moja je kutakuwa na ng'ombe wangapi? watakao wezesha kuliwa kila siku? kuku wangapi watakao wezesha kuliwa kila siku? itabidi wale hao wadudu chura,nyoka, mijusi,mende Panya na kadhalika ili waweze kutosheleza mlo wa siku. Hapo kwetu tuna wanyama wengi tu kuzidi hata Raia wenyewe Wa Tanzania wote hatuwezi kuizidii ya Watu millioni 45? Ni Sawa Sawa na kijiji kimoja cha Watu huko china. Tetehteteh tehteh
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Nimekula wale wadudu wa taa wa kukaanga...crunchy and tasty :]

  Nimekula konokono wa kukaanga with garlic sauce ....kinda okay
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli Mungu aliwapenda sana
  wanyama pori ndo maana akawaka
  Africa (wengi wao) lolz..
  otherwise sasa tungekuwa
  tunamsikilizia simba kwa mbali..
  wengi wao wangekuwa history kama
  dynasure, etc..
  .
   
 8. Cookie

  Cookie Content Quality Controller Staff Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 1,920
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Dah konokono........ No Comment
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Tanzania hii hii watu wanakula panya na chura, konokono kitu gani bana! LolBesides konokono huyo was specially produced for food in a very health conscious country :]
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Hao Wanyama pori wangelikuwa Bara la Asia basi ninavyofikiri mimi wangelikwisha mara moja kusengelikuwa tena na mnyama anayeitwa Simba, Tembo,Swala,kifaru,Pundamilia,nyati,Chita,Chui,Paa kongoni na wanyama wengine wengi tu ingelikuwa kama hadithi tu za akina abunuwasi.........
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Inatisha..
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Watanzania jaribu nanyi kula huenda akilizenu zikaenda zaidi kwenye kazi na kuuweka uvivu kando kama wenzetu wachina
   
 13. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Mi ukinipa nakula, kwani kuna shida gani bhana! Hata nyama ya mbwa iliyorostwa nitakula. Chamsingi iwekatika maandalizi sahii.
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Haya kula hizi mkuu


  [HR][/HR]
  nyama za nyoka na kenge wa kichina


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]
   
 15. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  mama weee! Duh! Inahitaji moyo kidogo. :) ila nitakula tu, mbona wao hawafi? Nami nitaendelea kudunda tu. Hiyo misosi inaongeza maisha. :)
   
 16. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Jamaa wana uchu sana. Fujo zote hizi kutaka kula kila kitu.Huko kwao baada mtu kumkimbia nyoka,nyoka ndio anamkimbia mtu.
   
 17. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Wachina bwana wanajua kupika chakula, pia jamaa wanakula ile mbaya,mh kukikuta nyoka kaungwa vema wala huwezi tamb kama ni nyoka, utakula tu.
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kuona hizi picha peke yake.....zimenipelekea hali yangu kiafya kuwa mbaya sana
   
 19. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,988
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Wacha wale kama roho inapenda.
   
 20. P

  Papi Mucho Member

  #20
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Nilichopenda ni ile mix ya Mijusi na mboga - yaani hapa unabalance protein na mboga mboga - Kumbukeni - Kuleni kuku mayai mboga maziwa - yote yamo ndani ya mchanganyiko wa Mijusi na Mboga

  Ramadhan Kareem
   
Loading...